Ostadh Juma Namusoma Aibu Mbaya

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kama mnavyoona kwa picha,maisha ya baba yake ni duni wakati wasanii mjini wanamsujudu,wadogo zake wamefukuzwa shule kwa kukosa ada.

BABA YAKE AMLAANI YEYE NA WANAOMUIMBA KWENYE MUZIKI.
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa
 
jamaa anatanua kumbe mzee wake anaishi maisha haya
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa

Daah! Sijaamini kama we ndo unaongea hayo maneno..... Hakika kazi ipo hapa.!!!!! Hivi wewe uhusiano wako na wazizi wako upo poa kwaeli??!!!! Hivi we unaona huyo mzee hapo angeweza kumpa mtaji gani ye mwenyewe anaitaji mtaji.

We unaona maisha anayoishi Namsoma hapa mjini ni sawa wazizi wake kuishi kama inavoonekana hapo?? DAh yani nina maswali mengi kweli kwako but nachoka tu kuandika mana hata sina uhakika kama hata utanielewa maana unaonesha hulewi hadi bakora wewe.

Yaaaakkkhhhh..... Ngoja niishie hapa nsije tapika mie.
 
Msihukumu!..Hakuna mahali palipoandikwa kama huyo ni baba yake mzazi na hao ni wadogo zake wa tumbo moja!
 
Huyo baba alitakaje jukumu la kusomesha ni lake wala asimlaumu PNC,naona siku hiz magazeti yanakuja kuchukua udaku jamiii eti wema ana kichwa kama baba ubaya?
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa

Point sana Mkuu, yaani nimekupenda sana, kweli yaan wazazi wetu hawa waache tu wabaki kuwa wazazi ila kuna mambo mengine aiseeh hapana hata kama wametuzaa ila too much, unakuta kakutekeleza miaka kibao umehustle wee ukafanikiwa badae wanaanza ooh maneno kibao
 
Wazazi wengine hawana shukrani labda anataka kuishi maisha ya kifahari wkt ustaadhi nae ana majukumu yake.naona kuna wabaya wake ustaadhi wanataka kumdhalilisha
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa
hiyo support ya kumleta duniani inatosha
 
jaribu kuchunguza maisha ya mastaa na waheshimiwa kadhaa halafu uangalie na maisha ya vijijin kwao uone kama yanafanana, wamuache bwana kama yeye alifeli maisha kimpango wake, watu hamuwez kufanana we umeshawah kwenda kwa kina kikwete wewe ukapaona? acheni kuongea bhna
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa

Mkuu angalia maisha ya huyo mzee. Familia nyingi zimeshindwa kusomesha sababu ya umasikin uliokubuhu.

Zamani tofauti na sasa shule za kata sasa hivi kila sehemu.

Pia kipindi cha nyerere elimu ndio ilikuwa bure. Baada ya hapo ni pesa.

Pia watoto wengine hawapendi kusoma. Mzazi ni lazima asaidiwe siyo ombi ata kama alikukosea jifunze kusamehe.
 
Huyo baba alitakaje jukumu la kusomesha ni lake wala asimlaumu PNC,naona siku hiz magazeti yanakuja kuchukua udaku jamiii eti wema ana kichwa kama baba ubaya?

Kama umefanikiwa kiuchumi na wazee wako hawana uwezo ni jukumu lako kusomesha wadogo zako kiubinadamu.

Ni aibu mjin kujiita pedeshee uku familia yako inapigika.
 
Sasa pn hana pesa afanyajee,sio lazima halaf inategemeaa na moyo wa mtu!!!
 
Ss mkuu ndio unataka Ligi na mzazi wako?unaweza kumlipa wema wake kweli hata kama alikua hana uwezo wa kukusaidia? Nyie ndio mnakuja kusemaga kuwa kama ningetangulia ningekuzaa mimi.
 
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa

Ugali wake si umekula lakini.
 
Sasa tuhitimishe hakuna mtu anayejuwa back ground yao.wapo wazazi wanatelekeza watoto wao wakishaona kuwa ana kipato ndio anamsogelea na kuanza kulalamika.naamini wazazi wanaojuwa wajibu wao kwa watoto wao hawalalamiki hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…