Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa

hiyo support ya kumleta duniani inatoshaNawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa
Daah! Sijaamini kama we ndo unaongea hayo maneno..... Hakika kazi ipo hapa.!!!!! Hivi wewe uhusiano wako na wazizi wako upo poa kwaeli??!!!! Hivi we unaona huyo mzee hapo angeweza kumpa mtaji gani ye mwenyewe anaitaji mtaji.
We unaona maisha anayoishi Namsoma hapa mjini ni sawa wazizi wake kuishi kama inavoonekana hapo?? DAh yani nina maswali mengi kweli kwako but nachoka tu kuandika mana hata sina uhakika kama hata utanielewa maana unaonesha hulewi hadi bakora wewe.
Yaaaakkkhhhh..... Ngoja niishie hapa nsije tapika mie.
Nawashangaa sana wazazi ambao huwa wanawalaumu watoto wao eti wamesahaulika.
Utakuwa hajamsomesha hata mtoto,hajampa hata mtaji wa kutafuta maisha,leo mtoto akitoka baada ya kumpa support zaidi anabaki kupiga tu kelele eti ametelekezwa
Wazazi wengine hawana shukrani labda anataka kuishi maisha ya kifahari wkt ustaadhi nae ana majukumu yake.naona kuna wabaya wake ustaadhi wanataka kumdhalilisha
Huyo baba alitakaje jukumu la kusomesha ni lake wala asimlaumu PNC,naona siku hiz magazeti yanakuja kuchukua udaku jamiii eti wema ana kichwa kama baba ubaya?
Kama umefanikiwa kiuchumi na wazee wako hawana uwezo ni jukumu lako kusomesha wadogo zako kiubinadamu.
Ni aibu mjin kujiita pedeshee uku familia yako inapigika.
Point sana Mkuu, yaani nimekupenda sana, kweli yaan wazazi wetu hawa waache tu wabaki kuwa wazazi ila kuna mambo mengine aiseeh hapana hata kama wametuzaa ila too much, unakuta kakutekeleza miaka kibao umehustle wee ukafanikiwa badae wanaanza ooh maneno kibao