Ostaz Juma Namusoma ndani Fridaay Night Live

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
Bosi wa mtanashati Entertainment yuko ndani ya FNL

Anasema kosa la PNC lilikuwa ni kuondoka kwenye record label bila ruhusa na kwenda kutangaza kwenye vyombo vya habari
*Anasema yeye hajampiga picha akiwa anamuomba msamaha. ila kulikuwa na rafiki pengine hao ndo walimpiga picha
*Anasema siyo yeye aliyeweka picha ya PNC mtandaoni inawezekana kuna mtu ali-hack account yake ya Facebook na kuweka zile picha
*Ostaz anasema ameshamsamehe PNC na tiyari wako studio wanaandaa wimbo pia anasema PNC ni msanii anayempenda sana kuliko hata Diamond na kuna wakati alikuwa anajisikia vibaya kusikia Diamond anasifiwa alitamani sana adifiwe PNC
 
Mmh bora umesema mapema nisi tune eatv maana ntaota usiku mazombie, halaf hawa eatv sio watu wazuri, mtu mwenyewe wanamjua zombie, kutuwekea usiku ndo nn?
 
Hahahaha alikua anachenga kujibu maswalii ya sam misago,na likofia na miwani yake sijui aliemwambia avae hivyo nani?
Hua mnasema Heaven on desert ana sura ngumu hua mnataniaa aisee kitu ostadh Juma anatishaaa kama monster mbavuuu sanaa
 
Tatizo la heaven on desert ni kulazimisha urafiki na camera ilhali camera inamchukia...
 
Hahahaha alikua anachenga kujibu maswalii ya sam misago,na likofia na miwani yake sijui aliemwambia avae hivyo nani?
Hua mnasema Heaven on desert ana sura ngumu hua mnataniaa aisee kitu ostadh Juma anatishaaa kama monster mbavuuu sanaa

Alikuwa amevaa miwani ya jua saa 5 usiku
 
Alikuwa amevaa miwani ya jua saa 5 usiku

Mjita siku zote ni mjita tu,alikua anaficha sura yake itatutishaa unajua miwan inawasaidia wengi kua angalau na muonekano bomba hata Rich mavoko miwan hua inamsaidiaa kuliko akiwa hajavaa unaweza kumkimbiaa
 
Alicho ni furahisha ni kuomba msamaha kwa watanzania na wasanii kwa ujumla.

Hakuma aliye kamilika lakini jamaa ana stahili'pongezi kwa kuonesha kukua kifikra na kuuonesha utu uzima na kukubali makosa.

Ana stahili kusamehewa katika hili.
 
Alicho ni furahisha ni kuomba msamaha kwa watanzania na wasanii kwa ujumla.

Hakuma a.iye kamilika lakini jamaa ana stahili'pongezi kwa kuonesha kukua kifikra na kuuonesha utu uzima na kukubali makosa.

Ana stahili kusanehewa katika hili.

Ni moja ya vitu vya msingi kabisa alivyovifanya
 
jamaa anapenda kujiproud af ngeli yenyewe ya form 2
 
Hahahaha alikua anachenga kujibu maswalii ya sam misago,na likofia na miwani yake sijui aliemwambia avae hivyo nani?
Hua mnasema Heaven on desert ana sura ngumu hua mnataniaa aisee kitu ostadh Juma anatishaaa kama monster mbavuuu sanaa
hahahah hzo ndo sura za kuwatshia watoto wanywe uji!.
 
hivi kwanini anajiita ustadhi?

mbona kama anawadhalilisha watu fulani?
 
Mmh bora umesema mapema nisi tune eatv maana ntaota usiku mazombie, halaf hawa eatv sio watu wazuri, mtu mwenyewe wanamjua zombie, kutuwekea usiku ndo nn?

Tema Mate Chini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…