Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Bosi wa mtanashati Entertainment yuko ndani ya FNL
Anasema kosa la PNC lilikuwa ni kuondoka kwenye record label bila ruhusa na kwenda kutangaza kwenye vyombo vya habari
*Anasema yeye hajampiga picha akiwa anamuomba msamaha. ila kulikuwa na rafiki pengine hao ndo walimpiga picha
*Anasema siyo yeye aliyeweka picha ya PNC mtandaoni inawezekana kuna mtu ali-hack account yake ya Facebook na kuweka zile picha
*Ostaz anasema ameshamsamehe PNC na tiyari wako studio wanaandaa wimbo pia anasema PNC ni msanii anayempenda sana kuliko hata Diamond na kuna wakati alikuwa anajisikia vibaya kusikia Diamond anasifiwa alitamani sana adifiwe PNC