Ostaz Juma Namusoma ndani Fridaay Night Live

Ostaz Juma Namusoma ndani Fridaay Night Live

Hahahaha alikua anachenga kujibu maswalii ya sam misago,na likofia na miwani yake sijui aliemwambia avae hivyo nani?
Hua mnasema Heaven on desert ana sura ngumu hua mnataniaa aisee kitu ostadh Juma anatishaaa kama monster mbavuuu sanaa

Mnataka na yy awe mzuri kama chie kiumbe nini?


Sent from my iPhone
 
Aiseee hili jukwaa lina watu wana kashifa sijapata kuona daaa
 
Bosi wa mtanashati Entertainment yuko ndani ya FNL

Anasema kosa la PNC lilikuwa ni kuondoka kwenye record label bila ruhusa na kwenda kutangaza kwenye vyombo vya habari
*Anasema yeye hajampiga picha akiwa anamuomba msamaha. ila kulikuwa na rafiki pengine hao ndo walimpiga picha
*Anasema siyo yeye aliyeweka picha ya PNC mtandaoni inawezekana kuna mtu ali-hack account yake ya Facebook na kuweka zile picha
*Ostaz anasema ameshamsamehe PNC na tiyari wako studio wanaandaa wimbo pia anasema PNC ni msanii anayempenda sana kuliko hata Diamond na kuna wakati alikuwa anajisikia vibaya kusikia Diamond anasifiwa alitamani sana adifiwe PNC

FYATU uje utembelee na thread hii ili kujiridhisha kua kilichotokea hakikua sahihi, maana naona huku hata mhusika anakikataa kwa kunadai kuwa hakukifanya yeye (kuweka picha).
Nadhani labda utaridhika kua lile si jambo jema kokote.
PAMOJA.
 
Back
Top Bottom