Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Kubababake This Is TanzaniaWalikuwa wawili Osale Otango na Paul, waliwasumbua sana Wazungu, kwa mfano; walikua na uwezo wa kuwaambia kabisa Wazungu kuwa watakula nao chakula cha mchana, na hivyo wazungu huweka mitego yote ili wawakamate lakini at the agreed time jamaa wanafika wanakula na kufanya wanavyotaka bila ufahamu wa Wazungu. Wakishaondoka tu Ndio jamaa wanastuka
Haikuwapendeza wakubwa kuwajumuisha.Kwanini watu kama hawa hatuwasomi kwenye historia ya uhuru?
Arushaone,john tongo, OSALE OTANGO alikuwa mpigania uhuru (freedom fighter) kutoka mkoani Tanga kwenye miaka ya 1950. Baadaye alihama kutoka maeneo ya LUSHOTO akahamia Amboni TANGA na kwenye yale mapango ndipo walipokuwa wanajificha. ENDELEA KUTAFITI MKUU.