Otango Osale ni nani huyu mtu?

Otango Osale ni nani huyu mtu?

Walikuwa wawili Osale Otango na Paul, waliwasumbua sana Wazungu, kwa mfano; walikua na uwezo wa kuwaambia kabisa Wazungu kuwa watakula nao chakula cha mchana, na hivyo wazungu huweka mitego yote ili wawakamate lakini at the agreed time jamaa wanafika wanakula na kufanya wanavyotaka bila ufahamu wa Wazungu. Wakishaondoka tu Ndio jamaa wanastuka
Kubababake This Is Tanzania
 
Nilifika pale mapango ya amboni makazi ya osale otango.nilichojifunza pale ni kuwa wakazi wa eneo husika walitoa Siri .iliyopelekea osale kuuawa .
 
Aliwahenyesha Sana askari WA kikoloni kwa matukio ya uhalifu
 
P1010807.JPG

Eneo hili ndipo walipokuwa wakijifisha pale mapango ya Amboni

P1010805.JPG

Hapa ni sehemu ambayo ndio njia waliyokuwa wakipitia huyu Otango na Hamis na kutokea Mombasa. Siku hizi sehemu hii imeziba na ni hatari.
 
john tongo, OSALE OTANGO alikuwa mpigania uhuru (freedom fighter) kutoka mkoani Tanga kwenye miaka ya 1950. Baadaye alihama kutoka maeneo ya LUSHOTO akahamia Amboni TANGA na kwenye yale mapango ndipo walipokuwa wanajificha. ENDELEA KUTAFITI MKUU.
Arushaone,
Osale Otango hakuwa mpigania uhuru.

Unaweza kumwita kitu chochote lakini hakuwahi hata siku moja kuwa mpigania uhuru wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom