Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

Mnazirudia lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tui
Huyu naye amekuwan refa wa mwaka 1949! Hatuwezi kuacha kumwamini refa na mshika kibendera wake waliokuwa golini palepale tukamwamini mtu aliyekuwa mbali sana na goli!
 
Reactions: Tui

Sisi tupo kwenye kinyang’anyiro cha points tatu tatu za ligi kuu huyu bado anatuletea ngao ya jamii! Kweli humu mna vilaza! Omary ndiyo nani?
 

Hata zingerudiwa kupigwa penati mara 100 utopolo wangenyukwa tu, ni bora zimeishia hapo maana ingekuwa balaa!
 

Hawa ndiyo walikuwaga marefa vichaka tangu wakati ule!
 
Reactions: Tui
Mshika kibendera yuko makini akiangalia miguu ya Salim kuwa bado imekanyaga mstari wakati Aucho amenyanyua mguu kupiga mpira wa penati. Ni mtu wa ajabu tu atakayemwamini mtu aliyeko nyumbani akiangalia kwa TV au aliyeko jukwaani na akagoma kumwamini mshika kibendera ambaye macho yake yanaangalia pale pale mstarini!! Msichokijua ni kwamba body language ya Aucho na uso wake ilimwonesha Salim kuwa anapiga upande wake wa kulia na akajiandaa kuruka upande huo!!



Hapo Salimu ameegemea kulia lakini miguu iko mstarini. Sasa watu wanatazama mwili ulioegama wakifikiri amesharuka, lakini mshika kibendera anatazama miguu ya Salim.
Halafu hakuna hata mpiga penati mmoja aliyelalamika kwa refarii kuwa Salim alitoka mstarini kabla hajapiga penati. Wapigaji ndio walikuwa wa kwanza kukubali kukosa penati kwa kuonesha masikitiko!!
 
Hata ulete baragumu hawatakuelewa.Hawaitwi gongowazi bila sababu.Ubishi,malalamiko na visingizio ni sehemu ya vipengele kwenye katiba yao.
 
Hii thread kuna watu wanaipitia kila baada ya sekunde tano. Ajabu ni kuwa wana mtindio
 
Bora wewe umejaribu kuchangia mada. Wengine wanarembua tu na kuniharibia uzi wangu. Hakuna argument zaidi ya mipasho ya kike
 
Sifa moja kuu ya makolo ni kushinda Yanga Kwa mbinu tu siku zote! Kihalali haiwezekani! Mechi ya 2 - 0 goli la kwanza lilifungwa kwa Kona kupigwa bila filimbi ya refa aliekuwa akipanga wachezaji!

Sifa ya pili ya mbumbumbu fc kolowizard ni kukataa Ukweli! Refa mbobezi Othman Kazi anasema Ally Salim karuka kabla ya mpira kupigwa, Tena penati mbili, shabiki maandazi ambae hata kupuliza kipenga hajawahi anabisha!

Kweli Kolokoloni mwenye akili mmoja tu Rage the Great!

Anachosema Othman Kazi ni kuwa ushindi wa Simba ngao ya jamii si halali hata Makolo mkilazimisha, Ukweli husimama wenyewe!
 
There we go again.Haya goli la kwanza halikuwa halali. Umebadilisha mbinu wenzako walidai haikuwa kona wewe umekuja na gia ya filimbi haikupigwa.Inonga alifunga kwa mkono.La pili Kibu alifunga pia kwa mkono?
Penalti iliyokataliwa ya Kibu Dennis haizungumziwi.
Ajabu focus ni penalti 5 tu.
Utopolo at their best.Argue until you die.
 
Sifa aliyopewa imekwisha kabisa...wewe unadhani yeye mwenyewe ana raha?!
Raha aitoe wapi jizi linaibia penati linatoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa alafu linapewa sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…