mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
mtaweweseka sana!Kipa mwizi yule kipa anatoka golini anaibia waamuzi alafu anapewa sifa jizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtaweweseka sana!Kipa mwizi yule kipa anatoka golini anaibia waamuzi alafu anapewa sifa jizi
Kateni rufaa.
Huyu naye amekuwan refa wa mwaka 1949! Hatuwezi kuacha kumwamini refa na mshika kibendera wake waliokuwa golini palepale tukamwamini mtu aliyekuwa mbali sana na goli!Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).

Utopolo bado wanalilia Ngao ya Jamii. Wana hasira hao kila mbinu wanafanya kujifariji.Sisi tupo kwenye kinyang’anyiro cha points tatu tatu za ligi kuu huyu bado anatuletea ngao ya jamii! Kweli humu mna vilaza! Omary ndiyo nani?
Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Mshika kibendera yuko makini akiangalia miguu ya Salim kuwa bado imekanyaga mstari wakati Aucho amenyanyua mguu kupiga mpira wa penati. Ni mtu wa ajabu tu atakayemwamini mtu aliyeko nyumbani akiangalia kwa TV au aliyeko jukwaani na akagoma kumwamini mshika kibendera ambaye macho yake yanaangalia pale pale mstarini!! Msichokijua ni kwamba body language ya Aucho na uso wake ilimwonesha Salim kuwa anapiga upande wake wa kulia na akajiandaa kuruka upande huo!!Leo ktk kipindi cha Kipyenga cha mwisho, mwamuzi mkongwe Othman Kazi amechambua mikwaju ya penati katika mechi ya fainali ya ngao ya jamii na kusema kuwa ile ya Aucho na Pacome zilipaswa kurudiwa kutokana na kipa wa Simba kukiuka taratibu (kutoka mstarini kabla ya mpira kuguswa).
Kwa upande mwingine, penati ya Yao haikuwa na tatizo
Kauli yake ni sheria?Mwamuzi mzoefu wa mpira wa miguu na mchambuzi wa maamuzi ya waamuzi hapa nchini. Unaweza kumkosoa kwa hoja (yale ni maoni yake). Kama huna hoja soma za wengine
Daaaah sawaSisi tupo kwenye kinyang’anyiro cha points tatu tatu za ligi kuu huyu bado anatuletea ngao ya jamii! Kweli humu mna vilaza! Omary ndiyo nani?
Ni maoni. Unaweza kumchallenge kwa hoja bila mihemko
Bora wewe umejaribu kuchangia mada. Wengine wanarembua tu na kuniharibia uzi wangu. Hakuna argument zaidi ya mipasho ya kikeMshika kibendera yuko makini akiangalia miguu ya Salim kuwa bado imekanyaga mstari wakati Aucho amenyanyua mguu kupiga mpira wa penati. Ni mtu wa ajabu tu atakayemwamini mtu aliyeko nyumbani akiangalia kwa TV au aliyeko jukwaani na akagoma kumwamini mshika kibendera ambaye macho yake yanaangalia pale pale mstarini!! Msichokijua ni kwamba body language ya Aucho na uso wake ilimwonesha Salim kuwa anapiga upande wake wa kulia na akajiandaa kuruka upande huo!!
View attachment 2721127
Hapo Salimu ameegemea kulia lakini miguu iko mstarini. Sasa watu wanatazama mwili ulioegama wakifikiri amesharuka, lakini mshika kibendera anatazama miguu ya Salim.
Halafu hakuna hata mpiga penati mmoja aliyelalamika kwa refarii kuwa Salim alitoka mstarini kabla hajapiga penati. Wapigaji ndio walikuwa wa kwanza kukubali kukosa penati kwa kuonesha masikitiko!!
There we go again.Haya goli la kwanza halikuwa halali. Umebadilisha mbinu wenzako walidai haikuwa kona wewe umekuja na gia ya filimbi haikupigwa.Inonga alifunga kwa mkono.La pili Kibu alifunga pia kwa mkono?Sifa moja kuu ya makolo ni kushinda Yanga Kwa mbinu tu siku zote! Kihalali haiwezekani! Mechi ya 2 - 0 goli la kwanza lilifungwa kwa Kona kupigwa bila filimbi ya refa aliekuwa akipanga wachezaji!
Sifa ya pili ya mbumbumbu fc kolowizard ni kukataa Ukweli! Refa mbobezi Othman Kazi anasema Ally Salim karuka kabla ya mpira kupigwa, Tena penati mbili, shabiki maandazi ambae hata kupuliza kipenga hajawahi anabisha!
Kweli Kolokoloni mwenye akili mmoja tu Rage the Great!
Anachosema Othman Kazi ni kuwa ushindi wa Simba ngao ya jamii si halali hata Makolo mkilazimisha, Ukweli husimama wenyewe!
Ndio haiwezekani kipa anawaibia waamuzi kwa kutoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa alafu wanamuacha tumtaweweseka sana!
Raha aitoe wapi jizi linaibia penati linatoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa alafu linapewa sifaSifa aliyopewa imekwisha kabisa...wewe unadhani yeye mwenyewe ana raha?!
Ndio kipa lenu jizi limeibia waamuziAjabu focus ni penalti 5 tu