GE2025 Othman Masoud: Kuhusu mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM tuendelee kuchukulia kama tuhuma

GE2025 Othman Masoud: Kuhusu mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM tuendelee kuchukulia kama tuhuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
NI KWELI KABISA . LOWASA ALISHINDA UCHAGUZI LAKNI WAHUNI NDANI YA CCM WALIFANYA MAPINDUZI YA KITEKNOLOJIA NA KUBADLI MATOKEO .
TENA WALIHOFIA KUWA MWENYEKITI WAKATI HUO ALIKUA NI JAJI LUBUVA AMBAYE ALIKUA NI MWADILIFU SANA ASINGEKUBALI KUGEUZA MATOKEO KAMA YASINGECHAKACHUKIWA NA AKINA JANUARI.
Ni Kweli
 
Othman yuko sahihi. Ni mzalendo.
Ningeshangaa kama angemuunga mkono polepole wakati Chama chake kimetangaza kulinda kura, wanafanya maandalizi ya kupelekea walinzi. pale NIDA makao makuu ahhhhh mwaka huu tutaona nakusikia mengi
 
Back
Top Bottom