Wkt ndio wametafuta uhuru wa Tanganyika babu zako walikuwa wanapanga foleni ya kupokea vi Beskuti kanisani wakaona maisha wameyapatia. 😅😅Muislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
Wkt ndio wametafuta uhuru wa Tanganyika babu zako walikuwa wanapanga foleni ya kupokea vi Beskuti kanisani wakaona maisha wameyapatia. 😅😅Muislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
Mlifikiri kila mtu ni mpumbavu km nyie kizazi cha nyoka? Vitoto vinavyitumia makalio kufikiri, ni mwehu na taahira tu ndio huweza kumwamini huyo bichwa la papai. Nyie wapuuzi mlioko humu mitandaoni kwanza siyo wapiga kura hamna kadi, pili ni wachache mno hamfiki ht 2%, hakuna impact mnayo ktk mustakabali wa nchi hii, tutawachagulia viongozi tunaowataka na mtaongozwa penda msipende. Hilo la huyo nguchiro litapita na mtaokoteza tena kingine. Huyo Polepole mwenyewe anawacheeeka anaona amelamba mafala kwani anajua amezushia uwongo usiokuwepo.Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
Tanganyika we uliifahamia wapi, we ni mburukenge unayefuata mkumbo usioujua, tupatie ramani ya hiyo nchi we kibwengo, ndio maana hamjui ht mnataka nini, nyie nyumbu mtaongozwa mpk Yesu arudi maana ht hamjitambui. Chadema ilikimbia uchaguzi ikijua haitashinda badala yake wanataka kuleta uhaini, uasi, ugaidi hakuna hiyo nafasi hp Tanzania nyie ngedere wa mwituni..ACT wanakubalika Zanzibar.
..Chadema wanakubalika Tanganyika.
..kulinda kura ina make sense kwa uchaguzi wa Zanzibar.
..No Reform No Election ina make sense kwa uchaguzi wa Tanganyika.
..Wakati umefika kuwa na vyama visivyo vya muungano.
NB:
..Othman Masoud hana makosa. Tatizo ni mazingira na asili ya siasa zetu.
Kashashiba huyu hana analojali.zaidi ya kufikiria posho na.status atakayokuwa nayo baafa ya uchaguzi.hajali tena maslahi ya mzanzibar masikini anayeteswa na.utawala.wa.ccmMtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
Unapokuwa mnufaika na kusahau uhanga uliokuzunguka miaka yote ya nyuma!amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
Huyu OMO alikuwa anapigania "Mamlaka Kamili"; sasa Samia kawapa zaidi ya mamlaka; kwafanya kuwa wakoloni wa taifa jingine walilokuwa wanafikiri limepora mamlaka ya ki-nchi chao.Hana Interest na mambo ya Tanganyika maana iNEC kwa kiwango kikubwa inadeal na uchguzi wa JMT ambao yeye kama mzanzibari haupi priority kama ule unaosimamiwa na ZEC
Kateuliwa sasa
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.
Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa.
Kata ya Sombeti Arusha ina idadi kubwa ya wapiga kura kuliko jimbo la Handeni Mjini.
Kuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kunipeleka darsa kiduchu juu ya huu uhuni wa TUME HURU YA UCHAFUZI ?.
Ngongo kwasasa Handeni.
Waliwafira kabisa acha kuwatetea. Mwangi na mwenzie walibakwa kwa mujibu wao wemyewe
Huyo ana uhakika wa kushinda kwa 90% kwa hii CCM, labda fitna za kukatwa majina zifanyike (kitu ambacho sikioni kikitokea). Kama ni kuhonga mwanamama ameonga sana na kama kujiandaa basi amejiandaa vya kutosha mnoo.
Huyo mama, pesa aliyomwaga kuhonga wanaCCM haijapata kutokea katika huu uchaguzi. Kama kuna mwanaCCM wa jimbo la Mlimba hajatafuna hela za huyo mama basi atakuwa na bahati mbaya sana.
Huyo mama ni mafia kuliko alivyokuwa mama yake (marehemu mchungaji Rwekatale), ana karibu kila aina ya deal ya kupiga hela hapa Tz (chafu na safi) ana maconnection mpaka ya kina Abdul (mtoto pendwa wa taifa), kwa sasa mwanamama anausaka ubunge kwa hali na mali ili kulinda himaya zake za kibiashara kupitia parliamentary and diplomatic status.
Popote alipo mbunge wa sasa (? Kunambi) aanze tu kuaga, kwa huyu mama atapotezwa vibaya.
Hahaha ndio mambo CCM wanapenda hayo...
Ni kweli kabisa .
Mwaka 2015 ilitokea hivyo na mwasisi wa huo uhuni ni Kikwete .
Mwaka huo CCM ilihofia Lowasa kushinda .
Walipanga kuwa Lowasa akishinda ni bora Jeshi lishike nchi. CDF akagoma akasema yeyote atakayeshinda watamlinda na kuilinda Katiba . Wakamfanyia figusu nyingi.
Wakatafuta plan nyingine ya kuiba kura . Wakaona bado Lowasa alikua na nguvu kubwa sana.
Wakafikia kwenye kuunganisha Mitandao ya tume na CCM ikisimamiwa na Januari.
CCM walichokua wanafanya ni kuhack matokeo kutoka kila jimbo na kuyabadili kabla ya kwenda Tume .
Yaani kwa mfano jombo la Chui kura za CCM 5000 za Chadema 25000 basi zilikua zinabadilishwa na kuwa CCM 35000 chadema 15000 .
Kisha hayo matokeo ya kughushi ndiyo yalikua yanapelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ili yasomwe kwenye vyombo vya habari live .
Sasa tatizo likatokea vyombo vya dola ikiwemo polisi walikua waatoa pia matokeo ya kila jimbo kutoa taarifa kwa makamanda wao wa mikoa na mikoa wanatoa kwa wakuu wao wa makao makuu wakati huo DSM.
Wakawa wanashangaa mbona matokeo yanayotangazwa na tume yapo tofauti na yale waliyonayo!!
Polisi na vyombo vingine vya dola Wakacuanganyikiwa ikabidi watafute mbinu ya kufanya maana waliona kuwa panaweza kutokea vurugu maana Chadema walikua na kituo chao cha kukusanya matokeo nchi nzima .
Ikabidi wavamie kwenye kituo cha chadema ili kupata uhakika kama Chadema wanapata matokeo halisi au hawayapati .
Walipovamia kituo cha chadema wajagundua kuwa matokeo ya chadema ndiyo yaliyokua matokeo halisi na CCM ilikua inaelekea kushindwa vibaya . Ilibidi polisi wachukue Computer na simu zote za chadema ili kupoteza ushahidi na kuepusha machafuko nchini.
Unajua polisi siku zote wanatumia nguvu kubwa sana kutuliza machafuko ambayo kimsingi yanasababishwa na serikali zinazokua madarakani pale watawala wanapogeuka kuwa mafisadi na wahujumu uchumi na kutaka kuifanya nchi kuwa mali yao binafsi .
Kwa hali ilipofikia kwa tanzania labda Jeshi lishike dola ili kuweka mifumo mizuri kwa tawala za kiraia,mifumo isiyotumia polisi na mahakama kama chombo cha kukandamiza wengine .
Yaani kwa sasa tuna Raia wanaotawala nchi kijeshi. Watu wasiojua hata taratibu miiko ya kijeshi zaidi ya kutesa na kukomoa watu .Ndio maana Kuna wazuri mmoja aliwahi kuwapigisha pushap askari wakati wa kuwapandisha vyeo Mbele ya raia siku ya sherehe. Hakunaga jeshi la namna hiyo wala amri za kishenzi namna hiyo kwa afisa wa jeshi ambaye hayuko kwenye recruit course. Akishahitimu mafunzo askari anaadhibiwa kwa mujibu wa taratibu na miongozo ya kijeshi .
Watu walishangilia kuona mfumo mbaya wa kiraia katika udikteta ukiwa unajengwa nchini .
Bila kubadili mifumo na katiba inayompa Rais mamlaka ya kimungu iko siku nchi hii itageuka kuwa pango la majambazi na wauza madawa na wauza magendo na wapiga sili huku Watanganyika wakiwa wamebaki kushangilia mpira na kujaa misikitini na makanisani kununua maji ya upako na dawa za kisuna za kuvuta nyota .
Mungu inariki Tabzania ,Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Zanzbar,Mungu ibariki Afrika Mashariki , Mungu ibariki Afrika ,Mungu Ibariki dunia nzima .
Unatia moyo kama Bado wapo wa TZ wenye maono mazuri kama YakoKuna tatizo sana kwenye siasa za Tanzania .
Mamlaka makubwa ya rais ni changamoto sana .
Kwa mfano Eti Chadema ya Zanziba inataka mgawanyo sawa wa mali za Chama wakati waliojenga Chadema kwa jasho na damu ni Watanganyika wengi zaidi maana Zanzibar hakuna wanachama hata wanaofikia laki moja wa chadema .
Hapo ni kwa sababu Rais anatumia nguvu yake kutengeneza mbinu yoyote ya kuhujumu taasisi yoyote.
Kama alivyoingia Mwinyi mwaka 1985 alitumia nguvu na mamlaka yake kuua kabiasa viwanda na mashirika ya umma na kutumia nafasi yake kuimarisha biashara zake binafsi na waarabu wenye asili ya Falme za kiarabu ikiwemo kumega ardhi kubwa ya wamasai kule Loliondo na kuwapa .
Lakini akawa anafadhili vikundi vya kufundisha waislama wenye misimamo mikali yakidini kareti na judo bila kutuambia walikua waajiandaa kupigana na nani ?
Na kama mazoezi yalikua ni muhimu kwa nini hiyzo kareti na judo zisingefundishwa mashuleni rasmi bila kujali dini !
MWINYI kwa kutumia mamlaka makubwa ya Rais akaamua tu waislama wabadili unifom mashuleni na kuvaa suruali fupi na ushungi kichwani kwenye shule za umma ,huku wakitengeneza proaganda kuwa nchi inatawaliwa na mifumo ya kikristo hivyo waislam wanakandamizwa .
Mwinyi ndiye aluyetumia madaraka na mamlaka yake kuanzisha taratibu za Ikulu kudhamini na kutoa mapesa kuchangia misikiti na kupeleka mamia ya watu hija . Mwinyi ndiye aliyeanzisha mifumo ya benki za kiislam zisizo na riba bila kuiweka wazi kisheria ndani ya bunge na watnzania wote wakanufaika na mifumo hiyo .Matokeo yake ni taaisis zisizoeleweka vizuri kuingiza mapesa mengi kutoka nje ya nchi na kuwafikia wafanyabiashara wengi wa kisilama hasa Wapemba na waarabu kwa mgongo wa dini lakni hasa zilikua zinawanufaisha matajiri zaidi kuliko Maskini . Pakaanza kuibuka makundi ya mihadhara ya kidini yaliyokua yanachafua na kukashfu dini zingine hasa ukrsto .
Mihadhara ilikua inafanywa usiku kucha kutukana ukrsto . Kanisa katoliki likaonya sana kuwa watu wahubiti dini zao sio kukashifu dini za wengine.
Lakni haikuishia hapo Mamlaka ya Rais yakitumika vibaya yanagawanya watu kwa manufaa ya wachache na mwinyi ndiye aliyeanzisha mfumo wa wachache kufaudi rasilimali za nchi kwa kuja na mfumo wa kisultani na kifalme wa kujipendelea kwaza yeye na kumiliki mali nyingi kisha atumia pesa kuimarisha itaikadi zake na marafiki zake.
Pakaibuka mabilionea wachche katikati ya wimbi la umaskaini .
magaidi wakati huo walikua sana kwenye nchi za Kosovo , chechnia na mivutano ya Iraki na Irani walikua wanafanya biashara haramu za dhahabu ikiwemo nchi za Afrika mashariki wakati huo huo Waziri Mrema alikamata dhahabu za magendo uwanja wa ndege ambazo zilisadikiwa kuwa ni mali ya mke wa Rais mmoja wapo wa nchi za Afrika mashariki . Biashara haramu ya dhahabu ilitumika kuimarisha UGAIDI.
Ikulu iligeuzwa kuwa pango la walanguzi.
Mwanyi alipoingia aliwastaafisha na kuwafukuza kazi watanganyika wengi sana na kuweka Wazanzibari ambao baadae waligauka na kuanza kupora ardhi kule Morogoro kuhujumu shirika la nyumba na kusabanisha mwingiliano mkubwa sana wa utumishi wa umma na maslahi binafsi . Kwa muda mfupi pesa ikawa inabadilishwa badilishwa kama tiketi za mechi uwanjani . Pesa yetu ikashuka thamani kwa kasi . Serikali ikakosa misingi kama taasisi. Watu wachache wenye fedha wakaanza kutengenza mitandao ya kisiasa .
Mwinyi alikabidhiwa nchi ikiwa na umoja na mshikamano lakni alipoondika akaiacha nchi imeanza kuwa na nyufa za udini na siasa za kuchafuana na kila aina ya mtifuano ndani na nje ya CCM. Lakni chanzo ni maslahi baada ya kugundua kuwa Azimio la Arusha limevunjwa kila mtu akawa anakula kwa urefu wa kamba yake kwa kauli mbiu ya Ruksa kufanya chochote .
NYERERE alijitahidi kukemea lakni hakufua dafu mbele ya wahuni waliokua wameshaanza kuvimbiwa kwa pesa na madaraka .
Likaibuka suala la kujiunga na nchi za Kiislam nalo likaleta shida lakni lilikua limeshakalea sana kwa waislam kwa kuambiwa kuwa watapewa misaada mingi sana wakiishawishi serikali kukubaliana na hoja hiyo. Hilo nalo likaleta shida sana.
Yote ni kwamba Mwinyi ndiye mwasisi wa huu mfumo wa kujenga mtu badala ya taaisi. Aliondoka madarakanai nchi ikiwa kwenye hali mbaya ya kimifumo mpaka vyombo vya dola vilikua vinakosa uniform za kubadili wanaweka mpaka viraka wakati huo huo wafanya biashara za magendo na wauza unga wakiwa wanahezea pesa kwa kukwepa kodi na biahara haramu za madini .
Ni wakati sasa wa kubadili hii katiba maana iko siku tutalia kilio cha mbwa koko kwa kutumia katiba hii hii yenye kutoa mamlaka makubwa sana kwa Rais na watu wote wanapiga magoti mbele ya rais kama MUNGU bila vyombo bingine kama bunge na mahakama kuweza kubalance hali kama hii.
Pamba fuuuuMtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
ACT WAZALENDO kaondoka nayo maalim, OMO hana hata mvutoMuislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
Waislamu wengi kichwani hamnazoMuislamu tena mzanzibar akili.azitoe wapi act ni project ya ccm kama ilivyo CHAUMMA
Tanganyika we uliifahamia wapi, we ni mburukenge unayefuata mkumbo usioujua, tupatie ramani ya hiyo nchi we kibwengo, ndio maana hamjui ht mnataka nini, nyie nyumbu mtaongozwa mpk Yesu arudi maana ht hamjitambui. Chadema ilikimbia uchaguzi ikijua haitashinda badala yake wanataka kuleta uhaini, uasi, ugaidi hakuna hiyo nafasi hp Tanzania nyie ngedere wa mwituni
Huyu naye kweli ni project maalum, kwa mwanasheria nguli kama huyu nilitegemea aseme kwa vile hizi ni tuhuma basi mifumo inayodaiwa kudukuliwa ikaguliwe na wakaguzi huru ili tujiridhishe usalama wake kabala hatujaingia kwenye uchaguzi lakini kaongea kama Jimmy Mafufu tu, ovyo kabisa.Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
Tusifike huko jadili hoja yake tu dini yake muachie yeye na Mungu wake.Waislamu wengi kichwani hamnazo
Hivi unamjua Othman Masudi au unafuata mkumbo ili muradi uonekane umechangia!!
..waliotakiwa kuvamiwa na kunyang'anywa matokeo ni Ccm, sio Chadema. Kwa msingi huo hata Polisi na vyombo vya dola wanahusika na wanastahili lawama kwa dhuluma zilizotokea. Na Edward Lowassa na Maalim Seif wanastahili lawama kwa kutowaongoza wananchi kulinda ushindi wao.
Wapi amekosea kusema ni tuhuma ?Anawatetea CCM? Hawa jamaa kweli ni project ya Samia.