Maajabu ya Dunia yapo Tanzania, Handeni Mjini wapiga kura 28,000 Arusha Mjini Wapiga kura 521,000

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,490
Reaction score
38,302
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.

Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

Kata ya Sombeti Arusha ina idadi kubwa ya wapiga kura kuliko jimbo la Handeni Mjini.

Kuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kunipeleka darsa kiduchu juu ya huu uhuni wa TUME HURU YA UCHAFUZI ?.

Ngongo kwasasa Handeni.
 
Arusha mjin ina watu zaidi ya hao, pls correct info zako
 
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.

Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

Kata ya Sombeti Arusha ina idadi kubwa ya wapiga kura kuliko jimbo la Handeni Mjini.

Kuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kunipeleka darsa kiduchu juu ya huu uhuni wa TUME HURU YA UCHAFUZI ?.

Ngongo kwasasa Handeni.

Wale wa mwamba pole pole akili zinaanza kuwarudia:

Go18lwBXcAE8x9e.jpeg
 
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.

Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

Kata ya Sombeti Arusha ina idadi kubwa ya wapiga kura kuliko jimbo la Handeni Mjini.

Kuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kunipeleka darsa kiduchu juu ya huu uhuni wa TUME HURU YA UCHAFUZI ?.

Ngongo kwasasa Handeni.
Handeni kwa Abdallah Kighoda

Na pesa za mfuko wa Jimbo wanapewa sawa. Kila mtu gari na mafuta yake sawa.
 
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.

Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

Kata ya Sombeti Arusha ina idadi kubwa ya wapiga kura kuliko jimbo la Handeni Mjini.

Kuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kunipeleka darsa kiduchu juu ya huu uhuni wa TUME HURU YA UCHAFUZI ?.

Ngongo kwasasa Handeni.
Wana ripoter wao wa ITV kila taarifa ya habari ya saa 2 usiku lazima apewe airtime hata kama ana tukio la baiskel zimegongana litarushwa hewani.
 
Hii ndio Tanganyika ya Mwl Nyerere,Kawawa.........
Mifumo yetu ya uchaguzi haitazami idadi ya watu inatazama nani anatoka wapi na anawakilisha chama gani.

Jimbo la Arusha mjini lina wapiga kura 500,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa,Jimbo la Hadeni Mjini lina wapiga kura 28,000 mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

Kata ya Sombeti Arusha ina idadi kubwa ya wapiga kura kuliko jimbo la Handeni Mjini.

Kuna mtu mwenye akili nzuri anaweza kunipeleka darsa kiduchu juu ya huu uhuni wa TUME HURU YA UCHAFUZI ?.

Ngongo kwasasa Handeni.
Zanziba jimbo moja wapiga kura 2000 hadi 3500
 
Hii ndio ile kitu TAL alikuwa anasema ni

Gerrymandering

kwenye maeneo ya vijijini ambapo CCM huwa wanapata kura wanaongeza majimbo mengi yana watu wachache kama Handeni

Halafu mjini kwenye wapinzani wengi wanaacha majimbo machache yenye watu wengi

Hii hupelekea CCM kuwa na wabunge wengi, wagonga Meza na kuunga hoja BUngeni

#NoreformsNoElection
 
Ukichukua 500,000 ukagawa kwa 28,000 unapata 17.8 sawa na 18.

Kwa hiyo kwa uzezeta wako ulitaka Arusha iwe na wabunge 18 kwa sababu tu Handeni yenye watu 28,000 ina mbunge mmoja.

Kumbuka Arusha mjini ina ukubwa wa kilomita mraba 272 wakati Handeni ina kilomita mraba 6,458, hivyo basi Arusha Mjini inaingia mara 24 ndani ya Handeni

Kinachoangaliwa siyo idadi ya watu tu bali na ukubwa wa eneo
 
Ungemalizia na eneo la Zanzibari na Tanganyika ikikupendeza
 
Hii ndio ile kitu TAL alikuwa anasema ni

Gerrymandering

kwenye maeneo ya vijijini ambapo CCM huwa wanapata kura wanaongeza majimbo mengi yana watu wachache kama Handeni

Halafu mjini kwenye wapinzani wengi wanaacha majimbo machache yenye watu wengi

Hii hupelekea CCM kuwa na wabunge wengi, wagonga Meza na kuunga hoja BUngeni

#NoreformsNoElection
Rudini kwenye serikali za majimbo! Kila jimbo lijiamulie mambo yake! Serikali kuu ipeleke fedha!
 
Back
Top Bottom