Arusha mjin ina watu zaidi ya hao, pls correct info zako
Sensa 2022.
Mkoa wa Arusha ulikuwa na idadi ya watu 2,356,255.
Wilaya ya Arusha Mjini idadi ya watu 2022 ilikuwa 416,442.
2025 idadi ya watu Arusha inakadiriwa kuwa 550,000 hadi 600,000.
Mkoa wa Arusha wenye idadi ya watu (sensa 2022) 2,356,255 una majimbo saba ya kichaguzi.Arusha mjini,Karatu,Monduli,Arumeru Magharibi n Mashariki,Ngorongoro.
Kwa maneno rahisi sana watu 2,356,255 wanawakilishwa na wabunge saba wa kuchaguliwa.
Zanzibar yenye watu 1,800,000 inawakilishwa na wabunge 50 wa kuchaguliwa.
Ukitazama wastani wa uwakilishi baina ya Nchi ya Zanzibar na Mkoa wa Arusha utabaki kushangaa na kusikitika.
Wastani wa uwakilishi Mkoa wa Arusha ni Mbunge mmoja wananchi 336,607.
Zanzibar mbunge mmoja wananchi 36,000.
Ifahamike wabunge wote wana hadhi sawa.