Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Kama hawakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja.
Pili mbona Uhamiaji wasihusishwe katika kuwawasafirisha toka Tanzania na kuwakabidhi kwa mamlaka husika nchni mwao..
Ni aibu kubwa Kwa hiyo msemaji na kwa sirikali kuwa waongo
Maswali ya nini kila kitu kipo wazi, mahakamani tu watu wanapigwa hadharani je huko korokoroni si jehanamu
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

View attachment 3355009
Msigwa haoni hata aibu??

Mjadala wa Bungeni uliorushwa Live umeonesha wabunge wakishangilia vitendo viovu walivyofanyiwa wakenya na waganda. Tena mjadala wa Bungeni ulienda mbali hadi wabunge kusema walichofanyiwa hakikutosha wangefanyiziwa zaidi alafu leo anakuja kukanusha?

Sasa anakanusha nini wakati Bunge lenyewe liliconfirm vitendo vya ukatili dhidi ya Wakenya na Waganda?
 
hii nchi inaheshima zake kote ulimwenguni

tanzania sio uwanja wa kudemka
 
Polisi wanapiga watu na marungu bila sababu za msingi hadharani mbele ya kamera za vyombo vya habari, je gizani wanafanya maovu mangapi?
hio inaeleweka maaana chadema walishaambiwa ndan wanatakwa kwenda 50 tu toka mwanzo ila sasa wanavopenda vurugu walchoktafuta wamekipata
 
Polisi wa Tz wanahitaji kupewa semina kubwa sana. Ni wanyanyasaji kingono hata kwa raia wanaowakamata nchini. Wao wanafikiria upolisi ni kupiga tu tena mtu asiye na silaha.

Wafundishwe jinsi ya kuapproach mtuhumiwa. Siyo wao ni kuvamia na kuanza kutandika, akifika kituoni matusi yote mazito na kupigwa na kila polisi, kudhalilishwa. Bado kuna polisi watamnyemelea kwa ngono.

Sasa kama haya yanafanyika kwa raia wa ndani. Je kwa waliyepewa maelekezo hali inakuaje? Hawawezi kukiri ila na wao siku yao yaja. Hakuna ubaya ambao hautalipwa kamwe.
Katika vitu siungani na serkali ni swala la watu wasiojulikana, wanaoteka na kuua raia wenzetu, alafu anatokea raia (Gwajima) anakemea na kutoa ushauri kwa serkali, lakini serkali inaamua kumkomoa.
Ila kwa swala la hao wapuuzi wanaojiita wanaharakati wa inchi jirani kutaka kuingilia mambo yetu ya ndani, bila kupepesa maneno, naiunga mkono serkali yangu.
Tena sio kuwafira tu, ilibidi iwafunge jela miaka mingi sana, ili wakome kuleta shobo kwenye inchi za watu.
Tena kama huyo mkenya alibidi afirwe bila vilainishi ili iwe fundisho, kwa wengine, pumbavu zao.
 
Kitendo cha kuwafaata chumbani kwao.. Na kuwakamata..Ile ilikuwa Ni utekaji (abduction) Na kukaa nao siku 3/4

Ule Ni utekaji Wa wazi Na wanadai wangekamatwa kwenye Basi bila ushahidi Wa CCTV camera...ilikuwa kama kibao au mdude alivyofanywa...

Serikali ingeruka kuwa haihusiki
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

View attachment 3355009
Msigwa eeh, na wewe fanya press ya kithungu bana, Tena bila kusoma karatasi na use me hivo hivo... 😁 😁 😁
 
sio rahisi wakawa wamefanyiwa ivo, hawa activitists ni tatizo kwenye jamii always wana agenda zao zingine
Waliwafira kabisa acha kuwatetea. Mwangi na mwenzie walibakwa kwa mujibu wao wemyewe
 
Sema mama Hadi namuonea huruma...

Amekaa Na wapigaji ambao wanamshauri vibaya...Kwa Sasa utekaji chini YA utawala Wa mama imekuwa ndio nguzo YA TiSS

Kutekwa Kwa Activist ndio siraha kuu YA mama..this y...mama katika kwenye influence YA watanzania

Badala YA kuwa chief comforter...yeye AME.liese Na Akina Mafele Kwa kazi kuu YA utekaji Wa raia wake
 
sio rahisi wakawa wamefanyiwa ivo, hawa activitists ni tatizo kwenye jamii always wana agenda zao zingine
Ndio maana nasema hivi, hawa ni wakufirwa tu, tena bila wese, wiki mbili mtu akai chini.
Hao wanaojiita wanaharakati pia ni janga la Dunia tu.
Hulipwa pesa nyingi ili kupenyeza ajenda flani kwenye inchi zetu.

Bila hao wanaojiita wanaharakati, wenda ushoga usinge shamiri hapa Duniani.
Binasf ukija kwangu ukajitambulisha ni mwanaharakati usishangae hata chiga nisikutembezee.
 
Sema mama Hadi namuonea huruma...

Amekaa Na wapigaji ambao wanamshauri vibaya...Kwa Sasa utekaji chini YA utawala Wa mama imekuwa ndio nguzo YA TiSS

Kutekwa Kwa Activist ndio siraha kuu YA mama..this y...mama katika kwenye influence YA watanzania

Badala YA kuwa chief comforter...yeye AME.liese Na Akina Mafele Kwa kazi kuu YA utekaji Wa raia wake
Again, eti anashauriwa vibaya!!

Yeye hana akili zake?
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

View attachment 3355009
Huyu jamaa ana akili kweli?

Huyu jamaa anakula bata tu na inaonesha wazi kabisa kuwa hayuko aware na kilichofanyika na kinachoendelea kufanyika sasa nchini cha kuteka, kunyanyasa na kuuwawa watu bila kufikishwa mahakamani...

Walivunja sheria ipi? Na hata hasemi ni hatua gani za kisheria zilizochukuliwa

Labda kwa Polisi wa Tanzania kukamata raia wa kigeni kuwanyanyasa kingono, kuwavua nguo na Kuwabaka kama walivyofanya kwa yule mwanamke Mganda (Agather Atuhaire) na kumlawiti yule Mkenya (Boniface Mwangi p) ndiyo hatua zenyewe za kisheria anazomaanisha huyu msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa!
 
Back
Top Bottom