Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Mimi sizungumzii kupenda au kuchukia kwanza sio mshabiki wa siasa za vyama vya siasa, mimi nazungumzia hali ilivyo kwenye uhalisia wake.unajua ccm ndo chama pekee AFrika chenye heshima ya kudumu milele? ndo chama pekee kilichosaidia nchi nyingi kupata uhuru?
kuhusu maedeleo ni mengi sana! najua hauipendi kwa sababu ya personal opinion zako ila mnyonge mnyongeni haki yake mpen
Mkuu chama chochote kile kingekuwa ndio kipo hapo madarakani kama ccm nacho kisingekosa kusema kimefanya maendeleo maana ndio kimeunda serikali.
Sasa sijui wewe kama unaona hayo maendeleo yanaendana na muda ambao toka ccm ikae madarakani katika nchi hii kiasi cha kuisifia hiyo ccm na tuone kuwa labda kama isingekuwa ccm pengine kusingekuwa na hayo maendeleo.