Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

KAMA MNAWEZA KUWAPIGA CHADEMA WATANZANIA WENZENU SEMBUSE WAGENI TENA KWA KAULI YA RAIS NA MATAMKO YA KISHENZI YA SO CALED WABUNGE
 
Tanzania ikuilizwa swali moja walikamatwa na nani !. Mbona bunge na machawa walijadili au tanzania ya msumbuji ilisema wageni washugulikiwe haya maneno ya chura kiziwi samia
kwan aliowarudisha kina karua si ndo hao hao
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
kwahiyo wakivunja sheria ndio muwapake vilainishi kwenye matyako
 
tanzania report final

by MB Amissah — The majority of Tanzanians associate the police with impunity, secrecy and violence. Reform must begin with a
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Kama hawakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja.
Pili mbona Uhamiaji wasihusishwe katika kuwawasafirisha toka Tanzania na kuwakabidhi kwa mamlaka husika nchni mwao..
Ni aibu kubwa Kwa hiyo msemaji na kwa sirikali kuwa waongo
 
Msigwa aache upumbavu. Maisha bila kufanya uchawa yanawezekana!
 
Kama hakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhi I Badala ya ndege kama walivyokuja.
Pili mbona Uhamiaji wasihusishwe katika kuwa India Tanzania na kuwakabidhi kwa mamlaka husika.
Ni aibu kubwa Kwa hiyo msemaji na kwa sirikali kuwa waongo
Wanazunguka tu kukwepa ukweli, ila kila mwenye akili anaelewa kilichotokea
 
Polisi wa Tz wanahitaji kupewa semina kubwa sana. Ni wanyanyasaji kingono hata kwa raia wanaowakamata nchini. Wao wanafikiria upolisi ni kupiga tu tena mtu asiye na silaha.

Wafundishwe jinsi ya kuapproach mtuhumiwa. Siyo wao ni kuvamia na kuanza kutandika, akifika kituoni matusi yote mazito na kupigwa na kila polisi, kudhalilishwa. Bado kuna polisi watamnyemelea kwa ngono.

Sasa kama haya yanafanyika kwa raia wa ndani. Je kwa waliyepewa maelekezo hali inakuaje? Hawawezi kukiri ila na wao siku yao yaja. Hakuna ubaya ambao hautalipwa kamwe.
 
Kama hawakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja.
Pili mbona Uhamiaji wasihusishwe katika kuwawasafirisha toka Tanzania na kuwakabidhi kwa mamlaka husika nchni mwao..
Ni aibu kubwa Kwa hiyo msemaji na kwa sirikali kuwa waongo
Hao wameauma kuchuma bupu, wacha wajikune.
 
Back
Top Bottom