sawaUlisha elewa muda kitambo, sina wakati wa kupoteza na wewe tena kuhusu hili.
🤣 🤣 amna bana, ts un rare kitu kama icho wakafanyiwa alafu uite press uanze kuelezea ukizingatia ni mzazi unless ndo michezo yakeWalipigwa miti kaka tena mtungo
Ni kweli Serikali haijafabya vitendo hivyo. Vimefanywa na "Wasiojulikana" ambao kwa maneno ya Gwajima wanatumwa na Mwanasiasa fulani!Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Nchi ya Wafiraji! Aibuku kubwa sanaNi nani ambaye alifuata hizo sheria kati ya hawa akapona,Soka au Sativa au Mdude au padri Kitima,au wale viongozi wa Chadema waliovunjwa miguu.Ifike mahali watu waache kuabudu ukatili na kuuvalia ukatili ujasiri.Kwa hiyo wewe watoto wako au mkeo akivunja sheria za nyumbani kwako utamfanya hivyo!!?Ndugu zangu turudishe ubinadamu na hofu ya Mungu wote ni binadamu na tunatembea kwa miguu miwili.
Ni kwa sababu ccm imejikita zaidi kwenye kubaki madarakani kuliko kufanya maendeleo ya nchi.utaishi utaondoka utaiacha ccm hakuna mwansiasa wa upinzan ana uwezo wa kuitoa ccm ata mkiungana na nchi ya jiran bado kuitoa ccm ni ngumu sana, ccm ni #10 duniani na #1 afrika kwa siasa
Kukanusha hakusaidii kwa sabu tayari amekii analikuwa sehemu ya kuwakamatta na vitendo walivyowafanyia gizani hawezi kuthibitisha kwamba hakushiriki au waathirika hawakufanyiwa.Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Tunataka Tumpime Mwangi kama ana mimba ndo nitaamini alifanyiwa huo ukatili.Kwa hiyo kama walikosea ndiyo muwa ingize vidole kwenye rectum, ndiyo sheria inasema hivyo?
kwahio hakuna maendeleo yamefanyika chini ya ccm?Ni kwa sababu ccm imejikita zaidi kwenye kubaki madarakani kuliko kufanya maendeleo ya nchi.
Ukweli ni upi sasa?Ili wote waweze kuelewa hata wenye maswali mazito kuliko majibu mepesi?Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Mambo hayo munayo watu wa mikoani huko, hapa jijini hatunaga hizo.Duh! Mkuu angalia usije ukawafira hadi wanao wakizingua.
Mimi sisapoti mambo ya ufiraji kwa namna yeyote ile maana ni mambo ya kishenzi, ila wewe unasapoti hayo mambo kwa hao raia wa kigeni kupewa adhabu ya kufirwa.Mambo hayo munayo watu wa mikoani huko, hapa jijini hatunaga hizo.
Vipi wewe ulipo kua mdogo baba yako alikufira?
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Rudia nilichosema kwamba ccm imejikita zaidi kwenye kubaki madarakani kuliko kufanya maendeleo, serikali chini ccm inafanya mengi yasiyohitajika kufanywa na inaacha mengi yenye kuhitajika kufanyika kuliko hayo unayoona ni maendeleo chini ccm.kwahio hakuna maendeleo yamefanyika chini ya ccm?
Polisi wa Tz wanahitaji kupewa semina kubwa sana. Ni wanyanyasaji kingono hata kwa raia wanaowakamata nchini. Wao wanafikiria upolisi ni kupiga tu tena mtu asiye na silaha.
Wafundishwe jinsi ya kuapproach mtuhumiwa. Siyo wao ni kuvamia na kuanza kutandika, akifika kituoni matusi yote mazito na kupigwa na kila polisi, kudhalilishwa. Bado kuna polisi watamnyemelea kwa ngono.
Sasa kama haya yanafanyika kwa raia wa ndani. Je kwa waliyepewa maelekezo hali inakuaje? Hawawezi kukiri ila na wao siku yao yaja. Hakuna ubaya ambao hautalipwa kamwe.
unajua ccm ndo chama pekee AFrika chenye heshima ya kudumu milele? ndo chama pekee kilichosaidia nchi nyingi kupata uhuru?Rudia nilichosema kwamba ccm imejikita zaidi kwenye kubaki madarakani kuliko kufanya maendeleo, serikali chini ccm inafanya mengi yasiyohitajika kufanywa na inaacha mengi yenye kuhitajika kufanyika kuliko hayo unayoona ni maendeleo chini ccm.
Zikianza hizo sifa kusifia hayo yenye kuitwa maendeleo kwa serikali hii ya ccm unaweza kudhani labda hatuna miaka mingi toka tupate uhuru au kwamba ccm imechukua nchi kutokea upinzani.