nbayoungboy never broken
JF-Expert Member
- Apr 20, 2025
- 383
- 372
yule wa Uganda na boniface mwangi wote mewapiga madole kama mnaua sembuse kidole tena mmmmh mnatia aibu nchi
Watanzania wote waliotendewa vitendo viovu kama hivi kwa kawaida hukaa kimya na kwa aibu hawathubutu kusimulia kwa undani yaliyowakumba kwenye kinachodaiwa matibabu ya Kitanzania?Waliwafira kabisa acha kuwatetea. Mwangi na mwenzie walibakwa kwa mujibu wao wemyewe
Haya mambo hata huko kwenye vita yalishazuiliwa,yaani wale ambao wanapigana kwa kurushiana risasi za moto wakimteka adui.Leo hii raia ambae hana hata manati hata kurusha jiwe hajui anafanyiwa haya akiwa amefungwa pingu.Halafu kuna watu wanajisifu ni wajasiri,wamemkata mtu mmoja wakiwa kumi,na silaha juu na kumfanyia unyama.Huu ni upuuzi ulioboreshwa na kuzimuPress conference yake yote unafikiri inazungumzia nini? Analia kwa sababu gani?
Amesema dunia nzima imetambua polisi wa Tanzania wanabaka na kulawiti.
Kutembelea kwsi nchi jirani ilitakiwa kuwa kitu cha kawaida sana. Unaingia, unatoka.
Hata wakiwa nazo...wapo sahihi maana haikuwa na sababu yeyote kuwashikiliasio rahisi wakawa wamefanyiwa ivo, hawa activitists ni tatizo kwenye jamii always wana agenda zao zingine
Hamuoni aibu kukanusha? Yanayoendelea nchini yanaonyesha dhahiri kuwa huo uchafu mliufanya kwa hao wageni.Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
ukiwa nchi ambayo sio yako jifunze kufuata kanuni za uko, karua aliambiwa vizuri rudi ulipotoka alifuata masharti akachukua return ticket and hakuna kngine kimetokea uyu mwamba kafuatwa vizuri hotelini kuhojiwa kaanza usumbufu, japokua its rare wamemfanyia ivo because hawa watu wana agenda zao za siri but unapokua nchi ya watu jifunze kufuata sheria, kua deported ni kitu cha kawaidaHata wakiwa nazo...wapo sahihi maana haikuwa na sababu yeyote kuwashikilia
Ni nani ambaye alifuata hizo sheria kati ya hawa akapona,Soka au Sativa au Mdude au padri Kitima,au wale viongozi wa Chadema waliovunjwa miguu.Ifike mahali watu waache kuabudu ukatili na kuuvalia ukatili ujasiri.Kwa hiyo wewe watoto wako au mkeo akivunja sheria za nyumbani kwako utamfanya hivyo!!?Ndugu zangu turudishe ubinadamu na hofu ya Mungu wote ni binadamu na tunatembea kwa miguu miwili.ukiwa nchi ambayo sio yako jifunze kufuata kanuni za uko, karua aliambiwa vizuri rudi ulipotoka alifuata masharti akachukua return ticket and hakuna kngine kimetokea uyu mwamba kafuatwa vizuri hotelini kuhojiwa kaanza usumbufu, japokua its rare wamemfanyia ivo because hawa watu wana agenda zao za siri but unapokua nchi ya watu jifunze kufuata sheria, kua deported ni kitu cha kawaida
issue ya hao wana harakati ni tafauti, na pia hakuna mtu yoyote anaefanya siasa saf akasumbuliwa, ila siasa mnazofanya chadema ni za fujo wakati mnajua kabisa at the end wa siasa kunatakiwa kusitokee uvunjifu wa amani kwenye nchi but nyie mnajitoa akili kwahio thats another case, siungi mkono kwamba ndo adhabu but sasa kila mtu ana namna yake ya kuhandle mambo ivo basi ukiwa unafanya maamuzi ni vema busara ikakuongoza, unaweza ukawa una haki kabisa unataka kuielezea lakini jinsi unaifikisha ndo ikawa tatizo kwako. kikwete yeye alikua mzee wa kuziba maskio and it worked well for chadema ila sasa watu wanatafautiana jinsi ya kufanya maamuzi hivo basi busara inatakiwa ikuongoze wakati woteNi nani ambaye alifuata hizo sheria kati ya hawa akapona,Soka au Sativa au Mdude au padri Kitima,au wale viongozi wa Chadema waliovunjwa miguu.Ifike mahali watu waache kuabudu ukatili na kuuvalia ukatili ujasiri.Kwa hiyo wewe watoto wako au mkeo akivunja sheria za nyumbani kwako utamfanya hivyo!!?Ndugu zangu turudishe ubinadamu na hofu ya Mungu wote ni binadamu na tunatembea kwa miguu miwili.
Asante kwa ufafanuzi.Wala sihitaji hizo siasa ninachohitaji kwenu ni utu,nyie sio Mungu mseme hamkosei.Hatua iliyofikia ni mbaya kuamini kila mtu anaweza akatoa adhabu kutoka kichwani kwake hata kama kalewa au kavuta sigara kubwa.Ila kabla hatujatoa adhabu tutafakari hiyo adhabu ikifanywa kwako utaridhika!!?issue ya hao wana harakati ni tafauti, na pia hakuna mtu yoyote anaefanya siasa saf akasumbuliwa, ila siasa mnazofanya chadema ni za fujo wakati mnajua kabisa at the end wa siasa kunatakiwa kusitokee uvunjifu wa amani kwenye nchi but nyie mnajitoa akili kwahio thats another case, siungi mkono kwamba ndo adhabu but sasa kila mtu ana namna yake ya kuhandle mambo ivo basi ukiwa unafanya maamuzi ni vema busara ikakuongoza, unaweza ukawa una haki kabisa unataka kuielezea lakini jinsi unaifikisha ndo ikawa tatizo kwako. kikwete yeye alikua mzee wa kuziba maskio and it worked well for chadema ila sasa watu wanatafautiana jinsi ya kufanya maamuzi hivo basi busara inatakiwa ikuongoze wakati wote
Hao munaowaita watetezi wa haki za binaadam ndio hao hao wanaotumika kueneza ajenda za *******, kuwatetea ni kupoteza muda wako tu.mi mwenyewe ni mkali kwa watu wanaotweza utu wa wenzao. Acha kukashifu watetezi wa haki za binadamu
Ukijichanganyanya ukaingilia mambo ya nchi nyingine, kifiro hakiepukiki.Wewe ni tahaira, umezoea kifirwa wewe bila vilainishi sasa unataks kuhalalisha ufiraji kwa vyombo vya ulinzi na usalama!
Vyombo vya ulinzi vimeajiri matahaira wengi kama wewe!!
Ukitumia lugha ya "....mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja..." unakuwa na maana kuwa taratibu za kawaida kwa mujibu wa sheria za kimstaifa za kuwa - treat raia wa kigeni wenye makosa ktk nchi ya kigeni/isiyo yao zilifuatwa na mamlaka za dola ya Tanzania....Kama hawakuteswa na kuzalilishwa kingono mbona mliwarudisha Kwa usafiri wa Ardhini Badala ya ndege kama walivyokuja.
Busara ni muhimu kuliko fujoAsante kwa ufafanuzi.Wala sihitaji hizo siasa ninachohitaji kwenu ni utu,nyie sio Mungu mseme hamkosei.Hatua iliyofikia ni mbaya kuamini kila mtu anaweza akatoa adhabu kutoka kichwani kwake hata kama kalewa au kavuta sigara kubwa.Ila kabla hatujatoa adhabu tutafakari hiyo adhabu ikifanywa kwako utaridhika!!?
Ulisha elewa muda kitambo, sina wakati wa kupoteza na wewe tena kuhusu hili.kama unapenda uhalisia basi huo ndo uhalisia ukitaka kuishi kwenye fikra zako sawa
Duh! Mkuu angalia usije ukawafira hadi wanao wakizingua.Wapuuzi kama hao hata wakifirwa sawa tu.
Unaleta shobo kwenye inchi za watu?......***** utatulia.
MamaSamia2025 ameyatafuta, sasa atayapataSerikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.
"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.
Walipigwa miti kaka tena mtungosio rahisi wakawa wamefanyiwa ivo, hawa activitists ni tatizo kwenye jamii always wana agenda zao zingine