Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

Hivi inawezekana vipi mtu na akili zako unakosa mshipa wa aibu na kuongea ujinga kama huu! Yaani mnawakamata watu hadharani, mnawatesa na kuwadhalilisha! Halafu mnakanusha hamhusiki!!
 
Mimi nitachangia seem 2 tatizo lilipo !! Kwenda Mahakamani sio kosa kisheria lkn tufaamu yapo makosa madogo madogo unaweza chukuliwa kama Umevunja Sheria mfano kupiga kelele au kuvaa nguo ambazo zipo kinyume na Maadili Sheria inaweza kukubana,

Tatizo lipo apa CHADEMA wanafanya matangazo ili wafuasi wengi wajae pale Mahakamani tatizo la kwanza ndio ilo !!!!

Kesi ya Lisu ipo mahakamani na Wanasheria wa CHADEMA na wengine wote wapo kumtetea Lisu awa ndio muimu na awajazuiwa !!!!

Sasa mnatafuta kusanyiko la nini kwenye wengi kuna Mengi Polisi ndio wenye jukum la Usalama mnapokuwa wengi mojakwamoja mnawapa Shida kusimamia Usalama pale Mahakamani !!!

kwaiyo kwenda Mahakamani sio kosa lkn mkienda wengi inaweza kugeuka ikawa Uwonekano wenu ni Fujo kwa watunza Usalama mojakwamoja !!!

mfano sasaivi iyo kesi itakuwa Live sasa Bado mtataka kwenda kujaa Mahakamani Polisi + Mahakama awajazuiya Mawakili wa Utetezi wapo wengi nyinyi uwepo wenu ni kuchoma nauli tu Siamini kama inasaidia Chochote !!!

2 WaKenya Waganda wapo huru kuja Tanzania na wanakuja kila siku kama pia Watanzania wanaenda uko Kenya na Uganda akuna tatizo lolote !!!

Je unataka kuamisha alakati zako nchi nyengine apo utaenda lipia ya akina Agather!!

wana alakati wa TZ wakitaka nao kwenda uko kuonyesha Umoja wao ndio wanaweza kujikuta mikononi mwa Polisi au Wahuni wengine !!

Boniface mwangi na Agather Wanadai kupitia Udhalilishaji tuwape pole tu kauli zao zitafanya Wana alakati wengine Washindwe kuja Tanzania,
 
Tuhuma nyingine lazima tuzipe question Mark.
Hivi hao polisi ilihali ilijulikana wanawashikilia hao Wana harakati, ndio waende kuwaingilia kingono kweli? .
Kutandikwa inawezekana, ila hili la kufirwa Nina doubt nalo sana.

Hawa wanaharakati wameongeza chumvi.
 
Mwathirika anadai maaskari walimvua nguo na kuanza kumchezea chipopo - uchunguzi huru wa kimataifa unatakiwa ili tujue ukweli ama urongo upo wapi.
 
Ukipata muda 'google' "Plato's allegory of the cave". Soma na utajifunza kitu.
jitahidi kwenda na uhalisia amna mtu ambae hajui kinachoendelea but mwisho wa sku ukipima kwenye mizan utajua wananchi wanaprefer nn, kwa saahv we fanya tu issue zingine kuitoa ccm haiwezekan mpaka wavurugane wenyewe ama wananchi waamue wote kwa pamoja
 
Umebaki unaimba wimbo ule ule kama robot.
Unaizungumzia CCM ipi. Hili dubwasha mliloliteka na kutumia jina lake kufanyiamaovu kwa waTanzania?
kama unapenda uhalisia basi huo ndo uhalisia ukitaka kuishi kwenye fikra zako sawa
 
Msikilize Yule jamaa Wakiume alafu vaa uhusika
kwa elimu yangu ndogo ya saikolojia naweza nkasema its unlikely kafanyiwa icho kitendo, body language yake haiendani na uhalisia wa mtu alieathirika infact sku 1 kabla alikua mzima kabisa ila kwenye conference anaonekana anachechemea,
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

Mbona walitupwa maporini kwanini hawakukabidhiwa kihalali
 
Sasa walitegemea tuseme ni kweli? Hili tutakanusha hadi mbele ya hukumu ya mwisho. Hii ndio Tz bana.
 
Aliye mhoji nafikiri siyimwandishi nguli anauliza maswali elekezi. nisingempa muda wa kupumua lazima aeleze walifanya makosa gani.
 
Mimi nitachangia seem 2 tatizo lilipo !! Kwenda Mahakamani sio kosa kisheria lkn tufaamu yapo makosa madogo madogo unaweza chukuliwa kama Umevunja Sheria mfano kupiga kelele au kuvaa nguo ambazo zipo kinyume na Maadili Sheria inaweza kukubana,

Tatizo lipo apa CHADEMA wanafanya matangazo ili wafuasi wengi wajae pale Mahakamani tatizo la kwanza ndio ilo !!!!

Kesi ya Lisu ipo mahakamani na Wanasheria wa CHADEMA na wengine wote wapo kumtetea Lisu awa ndio muimu na awajazuiwa !!!!

Sasa mnatafuta kusanyiko la nini kwenye wengi kuna Mengi Polisi ndio wenye jukum la Usalama mnapokuwa wengi mojakwamoja mnawapa Shida kusimamia Usalama pale Mahakamani !!!

kwaiyo kwenda Mahakamani sio kosa lkn mkienda wengi inaweza kugeuka ikawa Uwonekano wenu ni Fujo kwa watunza Usalama mojakwamoja !!!

mfano sasaivi iyo kesi itakuwa Live sasa Bado mtataka kwenda kujaa Mahakamani Polisi + Mahakama awajazuiya Mawakili wa Utetezi wapo wengi nyinyi uwepo wenu ni kuchoma nauli tu Siamini kama inasaidia Chochote !!!

2 WaKenya Waganda wapo huru kuja Tanzania na wanakuja kila siku kama pia Watanzania wanaenda uko Kenya na Uganda akuna tatizo lolote !!!

Je unataka kuamisha alakati zako nchi nyengine apo utaenda lipia ya akina Agather!!

wana alakati wa TZ wakitaka nao kwenda uko kuonyesha Umoja wao ndio wanaweza kujikuta mikononi mwa Polisi au Wahuni wengine !!

Boniface mwangi na Agather Wanadai kupitia Udhalilishaji tuwape pole tu kauli zao zitafanya Wana alakati wengine Washindwe kuja Tanzania,
sometimes ata hawa jama wakitekwa unashindwa kuwatetea, mshaambiwa wanaingia watu 50 tu at the same time issue iko live bado wataka kufanya fujo heehehe anyway ngoja uchaguzi upite kipatikane chama kingine kipya kikuu cha upinzan
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

Hatua zilizochukuliwa ni zipi? Kesi ipo mahakama ipi?
 
Wamechukuliwa hatua zipi kwani hata unyanyasaji wa kingono ni hatua. Sema kabisa wamechukuliwa hatua za kuwarudisha makwao. kwisha
 
Back
Top Bottom