Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Mbona hajasema kama amelawitiwa?
Press conference yake yote unafikiri inazungumzia nini? Analia kwa sababu gani?

Amesema dunia nzima imetambua polisi wa Tanzania wanabaka na kulawiti.

Kutembelea kwsi nchi jirani ilitakiwa kuwa kitu cha kawaida sana. Unaingia, unatoka.
 
utaishi utaondoka utaiacha ccm hakuna mwansiasa wa upinzan ana uwezo wa kuitoa ccm ata mkiungana na nchi ya jiran bado kuitoa ccm ni ngumu sana, ccm ni #10 duniani na #1 afrika kwa siasa
Umebaki unaimba wimbo ule ule kama robot.
Unaizungumzia CCM ipi. Hili dubwasha mliloliteka na kutumia jina lake kufanyiamaovu kwa waTanzania?
 
Katika vitu siungani na serkali ni swala la watu wasiojulikana, wanaoteka na kuua raia wenzetu, alafu anatokea raia (Gwajima) anakemea na kutoa ushauri kwa serkali, lakini serkali inaamua kumkomoa.
Ila kwa swala la hao wapuuzi wanaojiita wanaharakati wa inchi jirani kutaka kuingilia mambo yetu ya ndani, bila kupepesa maneno, naiunga mkono serkali yangu.
Tena sio kuwafira tu, ilibidi iwafunge jela miaka mingi sana, ili wakome kuleta shobo kwenye inchi za watu.
Tena kama huyo mkenya alibidi afirwe bila vilainishi ili iwe fundisho, kwa wengine, pumbavu zao.
Wewe ni tahaira, umezoea kifirwa wewe bila vilainishi sasa unataks kuhalalisha ufiraji kwa vyombo vya ulinzi na usalama!
Vyombo vya ulinzi vimeajiri matahaira wengi kama wewe!!
 
kwa hili la hawa wa nje serekali ipo sawa
Hawa wakenya wakumbuke usemi usemao ndugu wakigombana

Sisi humu Tanzania tuna yetu…. Na huwa yanabadilika sana

Slaa baada ya kuiuza chadema, alikuja kuisaliti ccm

Leo mbowe ni Msaliti, Gwajima msaliti etc

Watuache hayawahusu
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

View attachment 3355009
Huyu uwezo wake ni kumsemea mbakaji Sa100 siyo serikali
 
Wapuuzi kama hao hata wakifirwa sawa tu.
Unaleta shobo kwenye inchi za watu?......***** utatulia.
Unaonaje kama wangepelekwa mahakamani wakashitakiwa na vyombo vyetu?
Chukulia wewe umefika Kenya then ukapigiwa yowe kuwa wewe ni jambazi kumbe siyo then Polisi wanakupiga, wanakubaka alafu wanakuja kukutupa hapo Namanga...utaona ni sawa?

Tujaribu kuwa fear.
 
Kwa vigezo gani?
kwasababu ukiwaangaliwa wanaonekana waongo.. mimi naijua serikali yangu trust me akuna aliyefilwa wala kuwekewa mavitu nyuma sijui.. yani wanadanganya wameenda far mpaka mtu unapata uvivu kiwasikiliza🚮🚮
 
wanaharakati wa Tz wangeweza kufanyiwa ivo vitendo ila naapa hakuja aliyepigwa ata kibao ni waongo alafu wanavozidi na mapress ndo wanachekesha.. unakuta tukio limepita siku kadhaa ila mtu yupo kwenye camera na vidonda vipya kabsa…
 
Katika vitu siungani na serkali ni swala la watu wasiojulikana, wanaoteka na kuua raia wenzetu, alafu anatokea raia (Gwajima) anakemea na kutoa ushauri kwa serkali, lakini serkali inaamua kumkomoa.
Ila kwa swala la hao wapuuzi wanaojiita wanaharakati wa inchi jirani kutaka kuingilia mambo yetu ya ndani, bila kupepesa maneno, naiunga mkono serkali yangu.
Tena sio kuwafira tu, ilibidi iwafunge jela miaka mingi sana, ili wakome kuleta shobo kwenye inchi za watu.
Tena kama huyo mkenya alibidi afirwe bila vilainishi ili iwe fundisho, kwa wengine, pumbavu zao.
Mkuu walivunja sheria gani hao jamaa?
 
Siku zote mlikuwa kimya, hadi mmeambiwa mlifanya shambulio la aibu ndio mnatoka hadharani, jamani nchi inachafuliwa, yanaendelea ndani ya nchi sishangai hayo yanayosemwa na hao wanaharakati
 
utaishi utaondoka utaiacha ccm hakuna mwansiasa wa upinzan ana uwezo wa kuitoa ccm ata mkiungana na nchi ya jiran bado kuitoa ccm ni ngumu sana, ccm ni #10 duniani na #1 afrika kwa siasa
Ukipata muda 'google' "Plato's allegory of the cave". Soma na utajifunza kitu.
 
kufungua kesi wont change anything hakuna mtu atakuja atasema samia achia madaraka, izo kesi ni kupoteza mda tu my point is there is 98% jamaa wala hajafanyiwa anavosema kabla hajaoa hio speech alikua town vizuri tu ndo tunamwona anaingia conference mguu mbovu a day before alikua mzima kabisa 🤣
Naona hapa mmoja anaelekea "kaskazini", na mwingine "kusini". There will be no meeting point.
 
Back
Top Bottom