Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Niwe kwenye mamlaka mimi!Mkuu, tulia, sikiliza unachoongea. Nafikiri upo kwenye mamlaka unafikiri siku zote utakaa hapo juu. Unakosea.
Huwezi kujitambua kwa sasa. Nafikiri wewe ni kijana mdogo sana.
Me ni fukufuku tu.
Kazi yangu inayonipa mkate wa kila siku ni kuchimba madini.
Kiufupi najituma, situmwi na mtu kwenye Dunia hii.