Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

Sitapenda kutukanwa. Nafikiri wewe pia hupendi kutukanwa. Ndio maana dunia ina misingi, utaratibu, kanuni kwa wananchi wa nje kutendewa haki wakiwa nchini husika.
Unataka kuniambia hapa nchini kwetu hakuna wakenya na waganda wanaoishi?
Je, ulisikia wanalalamika kua wamefirwa?
Brother, kua mpinzani sio kupinga kila kitu ikifanyacho serkali.
Kua huru kifikra.

"Tanzania sio shamba la bibi, kusema kila mtu anaweza kuingia na kufanya atakacho".
 
Sheria ilipotamka bayana

:
kuwa mshukiwa akikamatwa afikishwe Mahakamani ndani ya saa 48,

Sheria ilipotamka mtuhumiwa akifikishwa kituo cha Polisi ana haki ya dhamana na kupata msaada wa kisheria kupitia mawakili

Mtuhumiwa ana haki ya kuhojiwa huku wakili wake akiwepo n.k

Hizi ni sheria ambazo zinalinda maslahi ya pande mbili dola na mtuhumiwa, na kama sheria hizi zingezingatiwa basi shutuma zote zingeweza kukanushwa kwa urahisi kabisa lakini vyombo vya dola (State apparatus) ziliamua kutozitii, sasa Gerson Msigwa hata aitetee serikali vipi jumuiya ya kimataifa haziwezi kuielewa serikali ya Tanzania .
 
Halafu hao polisi baada ya kuwa doba wenzao walienda kunawa wapi au walijipangusia kwenye magwanda yao?
 
Imekuwaje huyu mtangazaji wa DW hakuuliza maswali ya msingi?

Kosa lipi walilofanya hawa wanaharakati (kiuhamiaji, kijinai, kigaidi, n.k.)? Hatua zipi za kisheria zilizochukuliwa? Na vyombo vipi vya dola? Adhabu zipi za kisheria zilizotolewa? Baada ya hapo, taratibu zipi zilizofanyika kuwarudisha kwenye nchi zao? Balozi za nchi zao zilihusishwa?

Badala yake kaishia kumchagiza Msigwa na porojo zake za utamaduni wa kitanzania wa kuserebuka kwenye uchaguzi!
Huyo mtangazaji ni kutoka wapi?
Hilo ndilo swali la kwanza muhimu la kuulizwa.
Usikute ni hawa wenye asili ya hapa hapa; akitegeshea kuwa Zuhra wa kesho; akidhani Samia bado anao muda wa kubaki madarakani baada ya 2025.
 
Wewe ni mgonjwa wa akili. Tafuta huduma haraka kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Huwezi kuukimbia ugonjwa.
Akili imeshakukaa sawa bata mzinga we.
"Unavyo kuja ndivyo utavyo pokelewa "

Mwenzako najadiliana nae vizuri tu, tena kwa heshma zote, ila wewe ulijifanya jeuri sasa kimekupoa.

Nb. Ninapo toka mwizi hapigwi, bali husemwa weeee, mpaka anakufa.
 
Mwendelezo wa bhangi kichwani mwako.
 
Mwendelezo wa bhangi kichwani mwako.
Umeshatoka nje ya mada, hivyo sina muda wa kuendelea kujaza sarvis za Jf.
Kesho ukiniona tena uniogope kama mboo isiyo tahiriwa.
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

View attachment 3355009
Screenshot_20250603_213349.jpg
hata huyu wanaweza kukanusha kuwa sio polisi wao
 
Mambo specific wewe unaleta kauli ya jumla jumla hivyo ya "wanaharakati"? Nilisikia wakisema wanakusudia kufungua kesi, sasa huko ndiko mbivu na mbichi zitajulukana.
kufungua kesi wont change anything hakuna mtu atakuja atasema samia achia madaraka, izo kesi ni kupoteza mda tu my point is there is 98% jamaa wala hajafanyiwa anavosema kabla hajaoa hio speech alikua town vizuri tu ndo tunamwona anaingia conference mguu mbovu a day before alikua mzima kabisa 🤣
 
Na mnachokitafuta nyinyi na Samia wenu mtakipata tu, hamna namna nyingine tena.
utaishi utaondoka utaiacha ccm hakuna mwansiasa wa upinzan ana uwezo wa kuitoa ccm ata mkiungana na nchi ya jiran bado kuitoa ccm ni ngumu sana, ccm ni #10 duniani na #1 afrika kwa siasa
 
Ndio maana nasema hivi, hawa ni wakufirwa tu, tena bila wese, wiki mbili mtu akai chini.
Hao wanaojiita wanaharakati pia ni janga la Dunia tu.
Hulipwa pesa nyingi ili kupenyeza ajenda flani kwenye inchi zetu.

Bila hao wanaojiita wanaharakati, wenda ushoga usinge shamiri hapa Duniani.
Binasf ukija kwangu ukajitambulisha ni mwanaharakati usishangae hata chiga nisikutembezee.
🤣 🤣 tunaelewa motives zao wala usiwe na shaka
 
Waliwafira kabisa acha kuwatetea. Mwangi na mwenzie walibakwa kwa mujibu wao wemyewe
day before kufanya conference alikua mzima kabisa hachechemei sku ya conference ndo anaonekana mgonjwa, na pia hakuna mtu anaweza kuja kuongea kitu kama kile kama hakina manufaa kwake, ni aibu kubwa however kwa kua ana mapato kupitia izo movement ndo maaana anaongea vile na machozi ya uongo
 
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.

Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai hayo yaliyotolewa hayana ukweli na yana nia ya kuichafua Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama.

"Hii nchi ina heshima zake, inaheshimiwa na kila mtu na watu wote wanaifahamu Tanzania, wao si watu wa kwanza kuja Tanzania, watu wengi wamekuja Tanzania. Kama wao wanakwenda kuzalisha tuhuma zao za uongo, wacha waendelee kufanya lakini Tanzania haiko hivyo. Wao walivunja sheria, wamechukuliwa hatua," amesema.

View attachment 3355009
Mtu mwenye anahojiwa na kiburi sana sijui nani!
 
Sheria ilipotamka bayana

:
kuwa mshukiwa akikamatwa afikishwe Mahakamani ndani ya saa 48,

Sheria ilipotamka mtuhumiwa akifikishwa kituo cha Polisi ana haki ya dhamana na kupata msaada wa kisheria kupitia mawakili

Mtuhumiwa ana haki ya kuhojiwa huku wakili wake akiwepo n.k

Hizi ni sheria ambazo zinalinda maslahi ya pande mbili dola na mtuhumiwa, na kama sheria hizi zingezingatiwa basi shutuma zote zingeweza kukanushwa kwa urahisi kabisa lakini vyombo vya dola (State apparatus) ziliamua kutozitii, sasa Gerson Msigwa hata aitetee serikali vipi jumuiya ya kimataifa haziwezi kuielewa serikali ya Tanzania .

KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU

TAMKO LA UMOJA WA MATAIFA JUU YA SOVEREIGNTY INAKWENDA NA WAJIBU

Sovereignty kama uwajibikaji ni dhana kwamba mataifa yana wajibu wa kulinda wakazi wao dhidi ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, na jukumu hili linaenea kwa jumuiya ya kimataifa pia. Kimsingi, haki ya serikali kuwa huru kutokana na kuingiliwa na nje inategemea uwezo wake wa kutetea haki za binadamu ndani. Wazo hili linahusishwa kwa karibu na wazo la Wajibu wa Kulinda (R2P), ambalo liliibuka mnamo 2001.

2018
MwanaDiplomasia balozi mbobezi nguli critical thinker Dr Francis Mading Deng baba wa sovereignty na wajibu, anafafanua dhana ambayo sasa imechukuliwa rasmi na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UNGA kuwa azimio lake rasmi kuwajibisha mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa UN:

Interview with Dr Francis Mading Deng, the South Sudan Ambassador at Large

View: https://m.youtube.com/watch?v=ar8iinL9I60
Sovereignty as responsibility is the concept that states have a duty to protect their populations from serious human rights violations, and this responsibility extends to the international community as well. Essentially, a state's right to be free from external interference is conditional on its ability to uphold human rights internally. This concept is closely linked to the idea of the Responsibility to Protect (R2P), which states that if a government fails to protect its citizens from atrocities, the international community has a right and responsibility to intervene
 
Tena sio kuwafira tu, ilibidi iwafunge jela miaka mingi sana, ili wakome kuleta shobo kwenye inchi za watu.
Tena kama huyo mkenya alibidi afirwe bila vilainishi ili iwe fundisho, kwa wengine, pumbavu zao.
We utakua shoga sio bure!! Unashadadia vipi haya mambo ya wanaume kugeuzwa. Hii nchi mbona imekua ya kipumbavu sana. Sasa kuna tofauti gani ya polisi na majambazi.
 
Back
Top Bottom