Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
hivi kwa ukatili huu ambao polisi wanawafanyia watanzania, unaweza kuamini kwamba waliwaacha bure wale? mwangi anasema walimpiga kidole wakamwuliza kama anajisikia vizuri, ila kama mwanaume ukimwangalia usoni tu unajua kuna zaidi ya hayo yalifanyika ila anashindwa kusema, ameanza kufunguka kimoja baada ya kingine. hatuamini kama alipigwa kidole peke yake hadi akawa anaendeshwa kwenye wheelchair alipookotwa kule mombasa. na sura yake usoni ilivyokuwa alikuwa so frustrated na hana furaha, hadi leo na ukiona mwanaume ameamua kukubali kusema walimvua nguo wakamtizamisha ukutani na kumpiga kidole, ile kugusa anus tu hakuna mwanaume atatamani hata kusikia tu.