Ni KweliNI KWELI KABISA . LOWASA ALISHINDA UCHAGUZI LAKNI WAHUNI NDANI YA CCM WALIFANYA MAPINDUZI YA KITEKNOLOJIA NA KUBADLI MATOKEO .
TENA WALIHOFIA KUWA MWENYEKITI WAKATI HUO ALIKUA NI JAJI LUBUVA AMBAYE ALIKUA NI MWADILIFU SANA ASINGEKUBALI KUGEUZA MATOKEO KAMA YASINGECHAKACHUKIWA NA AKINA JANUARI.
Wewe huyo jamaa omo humjui kiasi useme hivo pole sanaHana nini kibaraka huyo
Watanganyika wengi kiswahili hawakijui vizuri wao wanataka aseme ni kweli wakati hakujawa na uthibitisho wa hizo tuhumaMbona kazungumza vizuri
Hana mvuto kwako wewe kwa wazanzibari huyo ndie wanaemkubali pole sanaACT WAZALENDO kaondoka nayo maalim, OMO hana hata mvuto
OMO wamemkubali Zanzibar? Unaota weye. Hata kumtaja dkt Mwinyi tu anaogopaHana mvuto kwako wewe kwa wazanzibari huyo ndie wanaemkubali pole sana
Wewe huna unachojua kuhusu siasa za Zanzibar pole sanaOMO wamemkubali Zanzibar? Unaota weye. Hata kumtaja dkt Mwinyi tu anaogopa
Ningeshangaa kama angemuunga mkono polepole wakati Chama chake kimetangaza kulinda kura, wanafanya maandalizi ya kupelekea walinzi. pale NIDA makao makuu ahhhhh mwaka huu tutaona nakusikia mengiOthman yuko sahihi. Ni mzalendo.