ok.
Ya visiwani hayatuhusu wabaraKwa hiyo mgogoro umeisha na maridhiano yamepatikana. Zile kura zilizoibwa zimerudishwa?
Amemteua au amethibitisha? Halafu hao walikuwa ni Washindani katika Uchaguzi na hiyo nafasi ipo Kikatiba? Inakuwaje anamteua wakati matokeo ya uvhaguzi ndiyo yanaamua nai awe rais na nani awe Makamo wa Kwanza?
Fools grow old too and start giving out advice thinking their grey hair has cured their stupidity
YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR
Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu.
Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla kuwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua tena Mhe. Othman Masoud Othman kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huu umeanza rasmi tarehe 18 Septemba, 2026.
Hali kadhalika, Mheshimiwa Makamu wa Kwanza wa Rais ataapishwa siku ya Jumanne, tarehe 22 Septemba, 2026, majira ya saa 4:00 asubuhi katika Ikulu ya Zanzibar.
Wako katika Ujenzi wa Taifa,
Acha kuhara kwenye nyuzi za watu.ok.
OMO aache kiburi useless sasa na kudekadeka hovyo hovyo 🐒
Hakuna muungano mbona ya kwetu yanawahusu?Ya visiwani hayatuhusu wabara
huna haja ya mihemko ikiwa huna point gentleman na itapendeza zaidi 🐒Acha kuhara kwenye nyuzi za watu.
Lazima yawahusu maana wamejaa waoHakuna muungano mbona ya kwetu yanawahusu?
wapi kulikua na mgogoro gentleman kwa mfano?🐒Kwa hiyo mgogoro umeisha na maridhiano yamepatikana. Zile kura zilizoibwa zimerudishwa?
Rais Mwinyi ni wale watu pragmatic na practical.
YAH: UTEUZI WA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR
Tafadhali husikeni na mada iliyotajwa hapo juu.
Ofisi ya Baraza la Mapinduzi inapenda kutoa taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma kwa ujumla kuwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua tena Mhe. Othman Masoud Othman kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huu umeanza rasmi tarehe 18 Septemba, 2026.
Hali kadhalika, Mheshimiwa Makamu wa Kwanza wa Rais ataapishwa siku ya Jumanne, tarehe 22 Septemba, 2026, majira ya saa 4:00 asubuhi katika Ikulu ya Zanzibar.
Wako katika Ujenzi wa Taifa,
Pia soma: ACT Wazalendo yateua Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Safi kabisaChama cha ACT Wazalendo kimetangaza kufanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umefanywa na Kamati ya Uongozi Taifa ya chama hicho katika kikao maalumu kilichoketi jana, Jumatano, Septemba 16, 2026, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Chama, iliyopo Vuga mjini Unguja.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Septemba 17, 2026, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, uteuzi huo umezingatia Matakwa ya Ibara ya 72(3)(f) ya Katiba ya Chama hicho
Zaidi Soma Othman: ACT Wazalendo itaingia SUK kama haya yametekelezwa
Taarifa hiyo imeeleza kuwa jina la mteule huyo litawasilishwa rasmi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ili kukamilisha utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Ibara ya 39(1), (2) na (3)
Hahaa Nusu mkate oyeeeKwa hiyo mgogoro umeisha na maridhiano yamepatikana. Zile kura zilizoibwa zimerudishwa?
Unafikiri ndo mwarobaini wa siasa zetu za umwagikagi damu Kila wakatiSafi kabisa
Huu ni utekelezaji wa ushauri huu
https://www.jamiiforums.com/threads...majina-ya-suk-kususa-hakusaidii-kitu.2413666/
P
Makambo ezari ya bana mkata viuno eza penepeneok.