GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.

Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais wa ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, kuhusu wasiwasi wake juu ya iwapo uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hasa wakati Zanzibar nayo ikijiandaa kwa uchaguzi wa kitaifa.

Mtangazaji wa BBC, Roncliffe Odit ameanza kwa kumuuliza je ana imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar?

CHANZO: BBC
 
Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.

Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni mgombea urais wa ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, kuhusu wasiwasi wake juu ya iwapo uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hasa wakati Zanzibar nayo ikijiandaa kwa uchaguzi wa kitaifa.

Mtangazaji wa BBC @roncliffeodit ameanza kwa kumuuliza je ana imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar?

CHANZO: BBC
Kwa mujibu wa katiba ya JMT,Tanzania ni nchi moja ya JMT
yenye sehemu mbili,Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar。

Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT, na Tanzania hatuna sheria ya serikali ya mseto,hivyo rais wa Zanzibar,lazima awe ni mtu wa chama kilichoshinda uchaguzi huku bara!。 Upinzani hata ukishinda Zanzibar,kamwe hauwezi kutangazwa!,hii ni hoja ya kikatiba na kisheria,OMO ni mwanasheria,hili analijua fika,ila anaendelea kujifurahisha!Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
P
 
3E3EE33C-ACD6-4178-8F2C-7B659D3DDBE5.jpeg
 
Back
Top Bottom