DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Kwa mujibu wa katiba ya JMT,Tanzania ni nchi moja ya JMTWakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni mgombea urais wa ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, kuhusu wasiwasi wake juu ya iwapo uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hasa wakati Zanzibar nayo ikijiandaa kwa uchaguzi wa kitaifa.
Mtangazaji wa BBC @roncliffeodit ameanza kwa kumuuliza je ana imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar?
CHANZO: BBC
Mkataba wa muungano unataja jamuhuri ya tanganyika na jamuhuri ya watu wa zanzibar hakuna Tanzania bara wala Tanzania ZanzibarKwa mujibu wa katiba ya JMT,Tanzania ni nchi moja ya JMT
yenye sehemu mbili,Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar。
Kwa mujibu wa katiba ya JMT,Tanzania ni nchi moja ya JMT
yenye sehemu mbili,Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar。
Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT, na Tanzania hatuna sheria ya serikali ya mseto,hivyo rais wa Zanzibar,lazima awe ni mtu wa chama kilichoshinda uchaguzi huku bara!。 Upinzani hata ukishinda Zanzibar,kamwe hauwezi kutangazwa!,hii ni hoja ya kikatiba na kisheria,OMO ni mwanasheria,hili analijua fika,ila anaendelea kujifurahisha!Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
P