PreGE2025 Othman Masoud Othman: Miaka 61 ya Muungano, Zanzibar inakandamizwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Wakati leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema Zanzibar ilianza kupambana na changamoto za Muungano tangu yakiwa mambo 11 na hivi sasa yamefikia 41.​

Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka 61 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema ipo haja ya kufanyika kwa mabadikiko mkubwa ya mfumo wa Muungano ili Nchi zote mbili za washirika zipate haki sawa.

Othman ameyasema hayo leo April 26 katika ukumbi wa Samael Chakechake Pemba alipokua akizungumza na maelfu ya vijana wa Chama hicho katika kongamano maalumu la maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
WhatsApp Image 2025-04-26 at 12.39.48_25d3b299.jpg

WhatsApp Image 2025-04-26 at 12.39.49_97d648d0.jpg
Alisema uwepo wa Muungano huu kwa muda mrefu unaikandamiza Zanzibar licha ya kuwa na rasilimali zake nyingi inashindwa kupata maendeleo na kukuza uchumi kama Nchi huru.

Alisema pamoja na uwepo wa kasoro nyingi za Muungo na kulalamikiwa, watawala wanashindwa kujali na wamekua wakiongeza mambo mengine mapya kujinufaisha na familia zao.

"Tulianza kulalamimia mambo 11 ya Muungano hapo awali lakini sasa tunalalamikia mambo 41 bila wenzetu kujali lolote huku mambo yote hayo yakinufaisha upande wa pili wa Tanzania Bara" alisema.

Aidha Othman ambae pia ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar amesema kwa nyakati tofauti viongozi mbali mbali wamekua wakifanya jitidaha kumaliza, changamoto hizo lakini hakuna mafanikio ambayo yanapatikana kwa sababu wenye nguvu ndio wenye maslahi.

"Zimeundwa zaidi ya kamati 10 kushughulikia kero za Muungano lakini zote zimeishia njiani na hakuna kilichotimia hadi leo na ndio maana tunasema wenzetu hawana ukweli" alisema.

Sambamba na hilo alisisitiza changamoto hizo zinaiathiri zaidi Zanzibar ikiwemo kukosa mamlaka ya kukopa nje ya Nchi fedha ambazo zingeweza kuendesha miradi na kukuza uchumi wa Zanzibar.

Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Ismail Jussa amesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika umekua na vikwazo vingi,kwa muda mrefu ambavyo viongozi mbali mbali wamekua wakivisemea.

Alisema vikwazo hivyo ni pamoja na kukoseka Kwa usawa na Nchi zote mbili za washiriki ambazo kabla kuundwa kwa Muungano huo zilikua Nchi huru.

"Nyinyi vijana wakati tunaadhimisha miaka 61 hii ya Muungano ni lazima mufahamu vita hii haikuanza leo na nyinyi muna wajibu wa kuendeleza mpaka tutakapoleta heshima ya Zanzibar kuwa Nchi huru yenye haki na usawa katika Muungano huu.

Sambamba na hayo Jussa alisema watawala waliilazimisha Zanzibar kuingia kwenye Muungano bila ya wahusika kurusika.

Akitoa salam za vijana Makamu Mwenyekiti Ngome ya vijana Taifa wa Chama hicho Nassor Ahmed Marhoun alisema vijana wapo tayari kuendelea kupambana kwa njia za kidemokrasia.

Alisema njia pekee ya kuzifanya Zanzibar kupinga hatua zaidi za kimaendeleo ni lazima washirikiane kwa pamoja kuiondoa CCM madarakati katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Pia soma ~ Ismail Jussa Ladhu: Kuna haja ya kutazamwa upya mfumo wa Muungano ili uweze kuleta usawa
 
Pascal Mayalla njoo hapa utuambie zile kero ulizodai zimebaki tatu zimeongezeka lini?
 
Hawa jamaa wa ACT nao pia ni majinga ajabu!,hayajui kuwa hii katiba ya JMT ya mwaka 1977 ,ni katiba ya CCM yenye mfumo wa chama kmoja!,kwa mujibu wa katiba ya JMT,Tanzania lazima itawaliwe na chama kimoja Bara na Visiwani!。 Yale mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 2010 kuunda GNU,katiba ya JMT, haiyatambui!。Sasa majinga haya badala ya kulazimisha kwanza katiba ya GMT
kuitambua GNU kikatiba,GNU inatambuliwa ki protocol tuu,Maalim Seif na sasa OMO,wamepewa ving'ora wanachekelea wameridhika,wakati mfumo wa serikali ya。mseto ni Zanzibar tuu, ili ACT Wazalendo wakishinda Zanzibar watangazwe na wapewe,ni only if ACT Wazalendo,pia watashinda huku bara!。

Kwa mujibu wa katiba ya JMT,Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT,huku hatuna serikali ya mseto,hivyo hata ACT
akishinda Zanzibar kwa kura zote,chama kitakakacho tangazwa ni CCM!

Sisi watu wa bara,ndio tunawapigania haki wenzetu wa Zanzibar,huku haya majinga yenyewe yanawaza tuu kuingia ikulu huku hayajui bila mabadiliko ya katiba ya JMT,nchi haiwezi kutawaliwa na vyama viwili tofauti!。

Enzi za Dr Shein niliwahi kushauri Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
na hii enzi ya Dr Mwinyi nime shauri Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Pia angalieni nilivvyo wapigania Wanzanzibari
Ushauri wangu ni huu
Mwenzenu mimi nina jicho la tatu, 2015 nilishauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein hawakusikia, kilichokuja kutokea ni hiki Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Sasa kwa 2025 nimeelezwa HII kitu!
P
 
Hatari
 
Kabisa bhana! Ndio maana mkakandamizwa kwa Kupewa Urais wa Tanzania.

Ikulu ni Mzigo- Nyerere
Muislamu yoyote yule awezi kuwa na akili labda huyo muislamu awe muislamu jina kama mimi .
 
View attachment 3316493

Haki sawa na ninyi wapumbavu, mnachota pesa zetu nyingi halafu mnalalamika. Mnakandamizwa kivipi? Mna serikali yenu bado mnachukua pesa zetu huku bara. Eti mnakandamizwa, mnasaidiwa kila kitu na hakuna mnaloliweza paka ninyi....kelele nyingi hamtaki kufanya kazi...kupiga domo tu.
 
Hawa jamaa wa ACT nao pia ni majinga ajabu!,hayajui kuwa hii katiba ya JMT ya mwaka 1977 ,ni katiba ya CCM yenye mfumo wa chama kmoja!,kwa mujibu wa katiba ya JMT,Tanzania lazima itawaliwe na chama kimoja Bara na Visiwani!。 Yale mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya 2010 kuunda GNU,katiba ya JMT, haiyatambui!。Sasa majinga haya badala ya kulazimisha kwanza katiba ya GMT
kuitambua GNU kikatiba,GNU inatambuliwa ki protocol tuu,Maalim Seif na sasa OMO,wamepewa ving'ora wanachekelea wameridhika,wakati mfumo wa serikali ya。mseto ni Zanzibar tuu, ili ACT Wazalendo wakishinda Zanzibar watangazwe na wapewe,ni only if ACT Wazalendo,pia watashinda huku bara!。

Kwa mujibu wa katiba ya JMT,Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT,huku hatuna serikali ya mseto,hivyo hata ACT
akishinda Zanzibar kwa kura zote,chama kitakakacho tangazwa ni CCM!

Sisi watu wa bara,ndio tunawapigania haki wenzetu wa Zanzibar,huku haya majinga yenyewe yanawaza tuu kuingia ikulu huku hayajui bila mabadiliko ya katiba ya JMT,nchi haiwezi kutawaliwa na vyama viwili tofauti!。

Enzi za Dr Shein niliwahi kushauri Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
na hii enzi ya Dr Mwinyi nime shauri Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

Pia angalieni nilivvyo wapigania Wanzanzibari
Ushauri wangu ni huu
Mwenzenu mimi nina jicho la tatu, 2015 nilishauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein hawakusikia, kilichokuja kutokea ni hiki Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Sasa kwa 2025 nimeelezwa HII kitu!
P
Pamoja na uboya wako hapa umewaambia ukweli. Tatizo la ACT ni viongozi wake wakuu kutaka ving'ora tu. Haya mengine ni porojo. Uchaguzi wa 2025 wataachiwa wabunge wacache hasa Pemba, urais kama kawaida hata wakishinda hawatatangazwa, lakini OMo atapewa kin'gora na atakubali.
 
Back
Top Bottom