Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Usiamini Sana ktk nguvu ya mtu. Nguvu ya taasisi ndiyo habari ya mjini
Nguvu ya taasisi bila mtu makini na jasiri hakuna kitu. Taasisi inaweza kuwa imara, ilipata mtu legelege (...)
 
Hapa kazi tu watu wanaojiamini ndio anaowahitaji Mheshimiwa Magufuli ,hapa tayari yanayofurahisha yanazidi kushika kasi.
Ila cheo alichonacho hakina mashiko si ajabu mkamuona anatembea na mikasi ,CCM bana ! Nina wasiwasi ukoo wa Mwinyi unataka kuwa na ufalme pale Zanzibar,yaani hati miliki ya zanzibar hawa jamaa wanatuacha sasa, wanasema furaha yao watajenga jumba moja refu kuliko lile la uarabuni watakuwa wanatuona huku Tanganyika.
Bye bye Tanganyika ,fanyeni muwarudishe mashee ili haki itendeke,Sheni ametuletea mashee wakati awatuhusu, Magu mrudishie Sheni mashee wake. Saa mbaya tukae chonjo tujenge Tanganyika yetu na Magufuli wetu.
Kwahiyo wewe unaogopa ghorofa refu?
Waje hata la kufika mbinguni.....ila bado tutakunya juu ya paa.
 
We don't care.

Right now here in Zanzibar we want to be together, work together sote. CCM na Opposition, tumechoka fitna zenu na sasa we are working super hard in making sure that we all work toward the same goal and that is developing these beautiful Islands.

A lot of credits to Mheshimiwa rais Mwinyi and Mheshimiwa Magufuli as well for showing that they want to see Zanzibar develop. This paragraph wengi hamtoielewa.

Hivi unawaelewa CCM?
 
Kuna mchezo umechezwa kama move ya chess ya ku sacrifice quueen. Wenyewe wanasema kila likuapukalo basi ujuwe lina kheri nawe! And this is the highlight of the game.

1. Ili Magu kuongeza muda beyond 2 terms atahitaji 3/4 ya kura za wabunge wa Zanzibar

2. Wabunge wa Zanzibar watawekwa kikao na SMZ wataambiwa mpeni lakini atupe kitu in return.

3. Magu ataambiwa atapata kura lakini aipe Zanzibar madaraka kamili. Na yeye watamuachia na Tanganyika yake aongoze anavotaka. Atapata nguvu ya kusema uamuzi wa kuigawa Tanganyika na Zanzibar umepata support ya CCM.

4. Kwa hesabu za Magu atasema Fcuk ZNZ. Atachukuwa Tanganyika yake.

That's the game being played

Maalim Seif always upeo wake ulikua mbele sana Zaidi ya mazingira ya kawaida. Sio mara moja wala mbili alifanya matukio watu wakatanguliza kuvurumisha matusi mwisho wa mchezo wanaishia kuwa midomo wazi.

RIP Legend !
 
Dah Kule Unguja hamtapata Mwamba Kama Maalimu Jamaa alikua Mwamba kweli kweli sio mchezo...Ila nae alikosea alitakiwa azae sana hasa kidume kije kubeba maono yake angeoa wake 4 dini yetu inaruhusu.
Hairuhusu kiti moto hadharani lakini mafichoni
 
Vizuri tu .kuu

CCM hawajawahi kutaka Umoja wala maridhiano. Haya maridhiano unayoyaona ni baina ya Mwinyi na ACT bali si CCM na ACT kama ilivyokua ya Karume na CUF na si CCM na CUF, na ndio maana baada ya Kurume kuondoka madarakani tu kila kitu kilivurugika.

CCM wa Zanzibar ni wabaya Zaidi kuliko hata CCM wa bara.
 
Huyu bwana hawezi kuisaidia ACT zaidi ni mpango wa serikali uliokamilika,pingpinga yake wakati ule ilikuwa mbinu ya kuwaandaa kisaikolojia na kweli imekuwa,ila ukweli ni mfanyakazi wa siri wa serikali.ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom