Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Usiyempenda kaja
View attachment 1714757
Tumshkuru mungu kwamba ameteuliwa mtu ambae hatuna wasi wasi nae kwenye kupigania maslahi ya Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiyempenda kaja
View attachment 1714757
Tengua uteuzi wake. Hakuna mtu mwenye akili ataanza kujadili anafaa au la kwa mtu ambae ameshapitishwa anasubiri kuapishwaHuyu jamaa, mbna km hafai
We don't care.Congratulations to him. Is he also a pain in the CCM's ass?
Ulitaka amkatae?Kweli Mwinyi kiboko
Pumbavu wahedi wewe.Uyu afai anamisimamo mikali ya serikali tatu.
Mama d hujambo???Rais safiiiiiiiii
Makamo wa kwanza wa rais safiiiiiiiiiiii
Pamoja na rais Mwinyi.Kila la heri Othman.. Miungu akutangulie uwapiganie watu wako na nchi yako ya Zanzibar.
Kuna mchezo umechezwa kama move ya chess ya ku sacrifice quueen. Wenyewe wanasema kila likuepukalo basi ujue lina kheri nawe! And this is the highlight of the game.We don't care.
Right now here in Zanzibar we want to be together, work together sote. CCM na Opposition, tumechoka fitna zenu na sasa we are working super hard in making sure that we all work toward the same goal and that is developing these beautiful Islands.
A lot of credits to Mheshimiwa rais Mwinyi and Mheshimiwa Magufuli as well for showing that they want to see Zanzibar develop. This paragraph wengi hamtoielewa.
Usiyempenda kaja
View attachment 1714757 kwa picha hii arudishe tu pesa zetu, ajambiwa achore picha ya mwonekano wa wakati atakapo toka kutibiwa ktk hospitali ya mloganzila bwana
Salama kabisa, habari za siku Relief MirzskaMama d hujambo???
Unaota!!Kuna mchezo umechezwa kama move ya chess ya ku sacrifice quueen. Wenyewe wanasema kila likuapukalo basi ujuwe lina kheri nawe! And this is the highlight of the game.
1. Ili Magu kuongeza muda beyond 2 terms atahitaji 3/4 ya kura za wabunge wa Zanzibar
2. Wabunge wa Zanzibar watawekwa kikao na SMZ wataambiwa mpeni lakini atupe kitu in return.
3. Magu ataambiwa atapata kura lakini aipe Zanzibar madaraka kamili. Na yeye watamuachia na Tanganyika yake aongoze anavotaka. Atapata nguvu ya kusema uamuzi wa kuigawa Tanganyika na Zanzibar umepata support ya CCM.
4. Kwa hesabu za Magu atasema Fcuk ZNZ. Atachukuwa Tanganyika yake.
That's the game being played
Let's wait and seeKuna mchezo umechezwa kama move ya chess ya ku sacrifice quueen. Wenyewe wanasema kila likuapukalo basi ujuwe lina kheri nawe! And this is the highlight of the game.
1. Ili Magu kuongeza muda beyond 2 terms atahitaji 3/4 ya kura za wabunge wa Zanzibar
2. Wabunge wa Zanzibar watawekwa kikao na SMZ wataambiwa mpeni lakini atupe kitu in return.
3. Magu ataambiwa atapata kura lakini aipe Zanzibar madaraka kamili. Na yeye watamuachia na Tanganyika yake aongoze anavotaka. Atapata nguvu ya kusema uamuzi wa kuigawa Tanganyika na Zanzibar umepata support ya CCM.
4. Kwa hesabu za Magu atasema Fcuk ZNZ. Atachukuwa Tanganyika yake.
That's the game being played