Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Congratulations to him. Is he also a pain in the CCM's ass?
We don't care.

Right now here in Zanzibar we want to be together, work together sote. CCM na Opposition, tumechoka fitna zenu na sasa we are working super hard in making sure that we all work toward the same goal and that is developing these beautiful Islands.

A lot of credits to Mheshimiwa rais Mwinyi and Mheshimiwa Magufuli as well for showing that they want to see Zanzibar develop. This paragraph wengi hamtoielewa.
 
Ninachojua na ninachoamini Ni kwamba Kama kukiwa na Rais pale Zanzibar ambae yuko kwa ajili ya maslahi mapana ya Wazanzibar, basi Wazenji lao ni moja ZANZIBAR YENYE MAMLAKA KAMILI.

Sitashangaa pengine Mwinyi na huyu Bw.Masoud kutengeneza muunganiko ambao utaisumbua dola la Tanganyika. Wanaenda kuwa wamoja hawa. Tujipe muda kidogo.
 
We don't care.

Right now here in Zanzibar we want to be together, work together sote. CCM na Opposition, tumechoka fitna zenu na sasa we are working super hard in making sure that we all work toward the same goal and that is developing these beautiful Islands.

A lot of credits to Mheshimiwa rais Mwinyi and Mheshimiwa Magufuli as well for showing that they want to see Zanzibar develop. This paragraph wengi hamtoielewa.
Kuna mchezo umechezwa kama move ya chess ya ku sacrifice quueen. Wenyewe wanasema kila likuepukalo basi ujue lina kheri nawe! And this is the highlight of the game.

1. Ili Magu kuongeza muda beyond 2 terms atahitaji 3/4 ya kura za wabunge wa Zanzibar

2. Wabunge wa Zanzibar watawekwa kikao na SMZ wataambiwa mpeni lakini atupe kitu in return.

3. Magu ataambiwa atapata kura lakini aipe Zanzibar madaraka kamili. Na yeye watamuachia na Tanganyika yake aongoze anavyotaka. Atapata nguvu ya kusema uamuzi wa kuigawa Tanganyika na Zanzibar umepata support ya CCM.

4. Kwa hesabu za Magu atasema Fcuk ZNZ. Atachukuwa Tanganyika yake.

That's the game being played
 
18 Oct 2020

Gumzo na Mwanasheria Othman: Muungano, Katiba na Mamlaka kwenye Ajenda ya Zanzibar (Silsila 3)

Kwenye Gumzo la Ajenda ya Zanzibar leo, Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, anazungumzia nafasi ya Muungano, Katiba na Mamlaka ya Zanzibar.

Source : Gumzo la Ghassani
 
28 Feb 2021

HAZINA ZA MAALIM: Mazungumzo na msaidizi wake mkuu kisiwani Pemba

Bwana Seif Mohammed Azzan aliwahi kuwa mbunge wa jimbo la Pandani (1995 - 2000) na baada ya kuacha ubunge, akaamuwa kujitolea maisha yake yote kuwa msaidizi mkuu wa Maalim Seif Sharif Hamad (Rahimahullah) kisiwani Pemba. Leo anazungumzia mafunzo yanayoweza kuchukuliwa kutoka maisha ya Maalim Seif kwa kizazi cha sasa na kijacho.
source : Gumzo la Ghassani
 
20210301_192459.jpg
20210301_192518.jpg
20210301_192536.jpg
20210301_192604.jpg
 
Kuna mchezo umechezwa kama move ya chess ya ku sacrifice quueen. Wenyewe wanasema kila likuapukalo basi ujuwe lina kheri nawe! And this is the highlight of the game.

1. Ili Magu kuongeza muda beyond 2 terms atahitaji 3/4 ya kura za wabunge wa Zanzibar

2. Wabunge wa Zanzibar watawekwa kikao na SMZ wataambiwa mpeni lakini atupe kitu in return.

3. Magu ataambiwa atapata kura lakini aipe Zanzibar madaraka kamili. Na yeye watamuachia na Tanganyika yake aongoze anavotaka. Atapata nguvu ya kusema uamuzi wa kuigawa Tanganyika na Zanzibar umepata support ya CCM.

4. Kwa hesabu za Magu atasema Fcuk ZNZ. Atachukuwa Tanganyika yake.

That's the game being played
Unaota!!
 
Let's wait and see
 
Back
Top Bottom