Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

hongera.
jambo la msimgi ni ushirikiano na pia masilahi ya wazanzibari na maendeleo yao ndio yawe kipau mbele cha kwanza.
kuwatumikia wazanzibari wote, majungu yasipewe nafasi.
huu ndio muda kwa wazanzibari kushikamana na kujiletea maendeleo kwa haraka, tuache kabisa siasa za chuki kwani ndio zimechelewesha maendeleo kwa muda mrefu,.
 
Kuna mtu atakuwa anapiga ngumu ukutani sana [emoji23][emoji23][emoji23] jaziba jingi,

Kuna uwezekano JPM amebugi kwa Mwinyi kama JK alivyobugi 2015

Ngoja tuone
 

Makamu wa Kwanza wa Rais Mh. Othman Masoud Othman Sharif​

Hakika hii ni tunu kwetu sote waTanzania kumpata kiongozi kama huyu.​

24 Feb 2020​

OTHMAN MASOUD (hazina ya Zanzibar)​


Published on 24 Feb 2020
Othman Masoud anatueleza kuwa kuna makapu 22, makapu ambayo ndio mambo ya Muungano hutiwa humo na ukiyahesabu mambo ambayo yamo ndio unapata 39+ Tukumbuke, Muungano huu ulianza na mambo 11 baadaye likaengezeka moja na kuwa 12 na baadaye kidogo kidogo yakaanza kuengezeka mpaka sasa yamefikia 39 kwa hesabu ya mtu asiyejuwa hesabu kama Othman Masoud. Hukaa wakatuambia kuwa kuna serikali mbili kwasababu tukisema tunakuwa na serikali moja, Zanzibar itajiona imemezwa na Tanganyika. Lakini hivi vituko vya kuyachukuwa mambo yetu na kuyaweka kwenye makapu, itafika mahali sisi wenyewe Wazanzibari tutapendekeza serikali moja. CCM Zanzibar, wao bado hawajawa tayari kuukubali ukweli huu, wao bado wamo kwenye "mbili mboresho" kitu ambacho hakiwezekani abadan. Hata Mwalimu Nyerere amekiri hilo kwenye maandiko yake kwa kusema ama tuwe na serikali tatu au moja. Lakini ukweli shabaha yake hasa ilikuwa kuelekea moja. Mzee Msekwa aliwahi kuweka wazi ukweli mambo hadharani mwaka 2014 pale aliposema: Mwalimu Nyerere alitaka Wazanzibari kwanza wauzowee muungano huu ndio baadaye tuwe na serikali moja.

Source : Hilmi Hilal 259
 

Published on 30 May 2015​

FORMER ATTORNEY GENERAL OF ZANZIBAR MR OTHMAN MASOUD OTHMAN WAS A MAN OF ALL SENSES!

Othman Masoud - "Wa-Swiss wana serikali 26 na lugha rasmi za nchi hiyo 6 lakini Switzerland ni nchi moja imara na wenye umoja. Tusitiane hofu kuwa serikali 3 hapa Tanzania itavunja muungano"



Source : Zanzibar ni Kwetu
 
Niseme ukweli nimepatwa na matumaini makubwa kumuona Mh.Othman Masoud kupewa nafasi katika harakati za Zanzibar. Naamini kiukweli kama ni chaguo sahihi na bora kwa manufaa ya wazanzibari, inshallah kheri. Allah atuletee wepesi ameen.
 
Back
Top Bottom