Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

CCM ni hatari sana, yaani huyu jamaa walimuandaa toka bunge la Katiba aonekane kabisa ndio chaguo sahihi kwa Zanzibar
 
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad.

Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na Chama cha ACT-Wazalendo.

Uteuzi wa Othman Sharif unaanza leo na ataapishwa kesho Machi 02, 2021 Ikulu Zanzibar.

Pia soma

Kweli Mwinyi kiboko
 
20210301_145734.jpg
20210301_145719.jpg
 
Misimamo yake kuanzia bunge la la katiba mwezi march 2014 sasa amekuwa makamu wa 1 wa Rais zanzibar
 
Back
Top Bottom