Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Usiamini Sana ktk nguvu ya mtu. Nguvu ya taasisi ndiyo habari ya mjini
Nguvu ya taasisi bila mtu makini na jasiri hakuna kitu. Taasisi inaweza kuwa imara, ilipata mtu legelege (...)
 
Kwahiyo wewe unaogopa ghorofa refu?
Waje hata la kufika mbinguni.....ila bado tutakunya juu ya paa.
 

Hivi unawaelewa CCM?
 

Maalim Seif always upeo wake ulikua mbele sana Zaidi ya mazingira ya kawaida. Sio mara moja wala mbili alifanya matukio watu wakatanguliza kuvurumisha matusi mwisho wa mchezo wanaishia kuwa midomo wazi.

RIP Legend !
 
Dah Kule Unguja hamtapata Mwamba Kama Maalimu Jamaa alikua Mwamba kweli kweli sio mchezo...Ila nae alikosea alitakiwa azae sana hasa kidume kije kubeba maono yake angeoa wake 4 dini yetu inaruhusu.
Hairuhusu kiti moto hadharani lakini mafichoni
 
Vizuri tu .kuu

CCM hawajawahi kutaka Umoja wala maridhiano. Haya maridhiano unayoyaona ni baina ya Mwinyi na ACT bali si CCM na ACT kama ilivyokua ya Karume na CUF na si CCM na CUF, na ndio maana baada ya Kurume kuondoka madarakani tu kila kitu kilivurugika.

CCM wa Zanzibar ni wabaya Zaidi kuliko hata CCM wa bara.
 
Huyu bwana hawezi kuisaidia ACT zaidi ni mpango wa serikali uliokamilika,pingpinga yake wakati ule ilikuwa mbinu ya kuwaandaa kisaikolojia na kweli imekuwa,ila ukweli ni mfanyakazi wa siri wa serikali.ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…