Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

Wapemba hawako Tanganyika tu , wamejaa Kenya au hujui? Msumbiji kule Mji wa Pemba wamejaa, wamejaa pia Oman,Dubai, London, Canada, wewe huna haja ya kuwarudisha , watajirudisha wenyewe makwao , huku hawajaua mtu , walikimbia mateso ya askari wenu na vibaraka vyenu wakaingia huko chakani
 
Ubwabwaje kwa sababu mnawaibia Tanganyika chapchap na kuijenga Zanzibar haraka haraka halafu mnavunja Muungano na hilo lazima atimize Dada yenu ambae ni Zambarau mwenzenu.
Je mkijaribu kuvunja Muungano hata Dada yenu akashindwa?
 
Mchawi wa Tanganyika na Zanzibar huru ni CCM.
 
Ije haraka Zanzibar iwe huru, kuwe na Serikali ya Tanganyika na ya Muungano
 
Kama nchi zikijitenga, basi Mzanzibari aliyekaa sana Tanganyika atepewa uhuru wa kuamua kuwa raia wa Tanganyika na kule Zanz. itakuwa hivyo.
Ataweza kikiotesha tena kisogo chake?
 
Kuwepo Tanganyika maana yake kuwepo na Serikali tatu !! Je mnakubali ???!
 
Sasa sisi wakongo na warundi tuwewakosea nini mpaka tuwe mfano wa rojorojo?
 
Ni jambo jema. Wanaturahisishia kazi. Na sisi Tanganyika yenye mamlaka kamili imekaribia.
 
Basi kwanza amshauri dada yake aachie asali ya watu huko.
Wote wawili wameshiriki kikamilifu kuandika katiba mpya ya Amani Karume 2010 iliotamka Zanzibar kuwa ni nchi na sio sehemu ya Tanzania kama ilivyokuwa mwanzo.

Ukiona anaingia mikataba ya kimtego ambayo kuivunja ni lazima tulipe na kuendelea nayo tunalipa ujue yuko tayari kutuachia sasa!
 
Ila huyu mzee anashida sana...hivi zitto anajiskiaje kwa huyu mzee wake kituko
 
Ila huyu mzee anashida sana...hivi zitto anajiskiaje kwa huyu mzee wake kituko
Wazanzibar walienda kumpigia magoti awe mrithi wa Maalim Seif, sasa kati ya waliomfuta na yeye nani ana shida?
 
Zanzibar yenye mamlaka kamili msahau, haitatokea... Zanzibar itabakia kuwa sehemu ya Muungano siku zote.
 
Zanzibar yenye mamlaka kamili msahau, haitatokea... Zanzibar itabakia kuwa sehemu ya Muungano siku zote.
Usibishane na wakati, muungano umeshafika ukikongoni. Kinachoendelea sasa ni kung'oa mbao ili muda ukifika tugawane kwa usawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…