Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama chake, Othman alitaka watawala kuacha vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, hasa visiwani Zanzibar, akisema, “Tutauana hadi lini?”