utekaji wa watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima: Swali kwa wanafamilia ambao ndugu zao wamepotea na kutekwa linabaki "WAPO WAPI"?

    Wako wapi? Hilo ndilo swali linaloendelea kuwasumbua familia za watu waliotoweka mazingira ya kutatanisha. Leo, dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kutoweshwa kwa Nguvu, kumbukumbu zinarejea kwa watu 83 ambao kwa mujibu wa TLS walidaiwa kutekwa au kupotea nchini Tanzania kati...
  2. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Je, karipio la utekaji linahusu Polisi pekee? Je Simbachawene anaweza kuwaamrisha TISS?

    Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu. Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Watawala acheni vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, Tutauana hadi lini?

    Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama chake, Othman alitaka watawala kuacha vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, hasa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Watu kama Watendaji wa Vijiji nao pia wanakamata, kutesa na kuua

    "Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza nao pia kukamata, kutesa mpaka kuua." Amesema Zitto. Zitto amebainisha kuwa Ibara ya 14 ya Katiba ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Sauti ya mwenye mamlaka inapobeba haki huponya taifa lote, ikibeba hofu huacha majeraha ya vizazi. Ninakusihi sana, rudisha upanga alani

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nakuletea ujumbe huu kama raia mpenda haki na mwenye imani kuwa Tanzania inaweza kuwa bora zaidi, salama zaidi na ya haki zaidi kwa wote. Rais wangu, ulionesha ujasiri mkubwa katika kipindi kifupi ulichoshika hatamu za uongozi ulifungua milango ya majadiliano...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu ataka Serikali itoe majibu kuhusu masuala ya Utekaji wa Watu

    Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi na lilitakiwa kujibiwa na Naibu Waziri Daniel Sillo. Lakini Spika wa Bunge Dkt...
Back
Top Bottom