Je, karipio la utekaji linahusu Polisi pekee? Je Simbachawene anaweza kuwaamrisha TISS?

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.

Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.

Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.

Kaa kimya ule ugali wako!

Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
 
Wamechanganyikiwa, hawajui ni kipi hasa kinawatoa VIJANA kwa road, matamko yatasikika sana, tuwe tayari kuyasikia, kuyafanyia Kazi kutoyafanyia Kazi hilo ni swala lingine.
 
Tunajua kabisa kwamba shuka litakiwa na usiku kuna baridi alafu kumeshakucha na sasa ni mchana kuna joto ndio tunaambiana kuhusu shuka ? Anyway kawia ufika, ila tulipofikia hakuna Imani na Wana Usalama bila watu kufukuzwa na wengine kupigwa pingu Imani hii haitarudi kamwe...

Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.

Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.

Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.

Kaa kimya ule ugali wako!

Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
Kama ni waziri wa ulinzi linawahusu vyombo vyote km ni waziri wa mambo ya ndani tu nasi ni polisi na wagambo tu.
 
Atangaze km mtu hajavaa khaskari na hana rb husika ya kituo na hajamshirikisha kitongoji basi agomewe na ashugulikiwe km mtekaji.hapo amemaliza mchezo wa utekaji.
 
Ila Simbachawene huwa ametulia sana. Ana characters zooote za kiongozi mzuri sana.
 
Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.

Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.

Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.

Kaa kimya ule ugali wako!

Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
Kwahiyo bado hata huoni tuchembechembe twatufaraja?
 
Kama ni waziri wa ulinzi linawahusu vyombo vyote km ni waziri wa mambo ya ndani tu nasi ni polisi na wagambo tu.
Hivi ninyi ni nani huwadanganya hivi?Kuna mipaka ya kimamlaka boss. Waziri wa ulinzi ana mamlaka tu kwa wizara anayoishughulikia! Hana amri za kimamlaka juu ya wizara nyingine Wala juu ya vyombo vingine vya ulinzi kama polisi na mashirika ya kijasusi!
Kilichopo ni kwamba kiitifaki waziri wa ulinzi yupo juu ya wengine wa vyombo vya ulinzi
 
Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.

Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.

Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.

Kaa kimya ule ugali wako!

Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
Wanatuletea FUTUHI hawa ,wanaoteka watu ni makundi haya:-

1. Kikosi kazi - Task Force hawa ni Polisi - Huteka kwa kupkea order ya RC,DC au Mwanasiasa eg Waziri ,prezzo
2.TEETH
3.Gang za Cartel - Watu waliokuwa karibu na High Power Poeple eg Watoto wa Rais ,DG ,CDF au watu wao wa karibu ambao untouchable eg Genge la Bashite lilikouwa linateka watu
4.Polisi Jamii/Ulinzi Shirikishi walio karibu na Polisi - Hawa mara nyingi Wapigaji aka WATU WA DILI

kutoa maagizo kwa IGP wakati sehemu nyingine hana say ni FUTUHI....Hiyo order inatakiwa itoke kwa "RAHISI HARAMU SAMUYA" ndiyo ana power ya kuonya makundi yote hayo ya WATEKAJI na wakatii.
 
Hivi ninyi ni nani huwadanganya hivi?Kuna mipaka ya kimamlaka boss. Waziri wa ulinzi ana mamlaka tu kwa wizara anayoishughulikia! Hana amri za kimamlaka juu ya wizara nyingine Wala juu ya vyombo vingine vya ulinzi kama polisi na mashirika ya kijasusi!
Kilichopo ni kwamba kiitifaki waziri wa ulinzi yupo juu ya wengine wa vyombo vya ulinzi
Wizara ya ulinzi inahusisha vyombo 3 tu.
Jwtz, tiss na jkt.
 
Mimi hanichukui polisi yeyote nilishaamua Bora nichuliwe maiti, itakua vurugu kubwa mno hakuna polisi bongo.
 
Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.

Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.

Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.

Kaa kimya ule ugali wako!

Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU
Hizi operesheni za kuteka watu ni za TISS huwa wanawatumia maRCO kufanikisha mambo yao. Hii mbinu ya kuteka watu na kuwaua nadhani ndo jambo baya sana katika utawala huu. Wala haina utetezi wa kusema tunamuua fulani kwa sababu anahatarisha usalama wa taifa. Taifa la watu gani ambao wanauawa na vyombo vya usalama kuliko hata civil war za nchi kama kongo.
 
Back
Top Bottom