Kwa TANZANIA hii mie najua wanaokuja kuteka watu ni wahuni kutoka TISS maana sheria mpya chini ya SAMIA inawaruhusu kufanya hizi aibu.
Polisi utaratibu unaeleweka lazima akija aje kwa Mjumbe kutoa taarifa then muhusika wa kukamatwa anajulishwa! labda ka ni tukio la kihalifu anawahiwa kushikwa bila kuambiwa laakini sio katika hii hali ya KUVAA KININJA na Kuja na magari yasiyoeleweka plate Number.
Je SIMBACHAWENE UNAWEZA AMRISHA TISS?
kama huwezi bora ukae kimya tu maana muda si mrefu wataendelea na hizi tabia ionekane ulikuwa unachekesha tu, huna meno brother hunaaaaa.
Kaa kimya ule ugali wako!
Kama unajiamini TANGAZA KWAMBA ATAKAYEKUJA KUKAMATA MTU na MAGARI YASIYO YA POLISI, au KAVAA KININJA au KIRAIA Basi wananchi tuwashambulie kwa kujihami! hapa nitakuona mwanaume! zaidi ya hapo kakae tu na familia yako ule uzee wako kwa kodi za tuliopoteza ndugu zetu kwa amri ya WHO ARE YOU