Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Nadhani anaongelea Jamhuri ya muungano ya TanzaniaKwani zanzibar ni kama bara?
Aione Samia The Killer na majambazi wake wote!Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama chake, Othman alitaka watawala kuacha vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, hasa visiwani Zanzibar, akisema, “Tutauana hadi lini?”
aende bara akapigie kampeni wabunge wake halafu atamke hayo mambo, huko ita sound vemaNadhani anaongelea Jamhuri ya muungano ya Tanzania
Huku bara watu hawatawachukulia serious kwasababu Polepole alishafitinisha na kusema chama chao ni cha system.aende bara akapigie kampeni wabunge wake halafu atamke hayo mambo, huko ita sound vema