Nadhani kwenu ku sound swahili = mombasani....Otile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasani
Si nkm vile mka copy paste kiswahili kutoka mombasa...mbna hakuiga mpka matatizo ya herufi...hhhhNadhani kwenu ku sound swahili = mombasani....
Ila chukua nyimbo za bongo ile ya muda mrefu af skiiza na otile anavyoimba..simply copy and pasting and this is the reason why he cant make a breakthrough in Bongo compared to the likes of Nyashiski coz "the music genre he uses is already over saturated in Bongo"
Kuja ufunzwe kimvita wewe....ama wataka ki jomvu..au pia wataka kigunya...au pia wataka ki amu...haya na wewe nitajie cha dar...au kwenu kiswahili hakina majina...heheeeee!!!labda mnakiita kizaramoKimombasani [emoji53][emoji53][emoji53] ni aina ya muziki au....
Huyo anaimba bongo flava yaani chukua nyimbo za bongo flava pure afu msikilize anachokiimba..just the same
Hujui Otile ndiyo anatetemesha mambo Kenya sasa hivi?Wyre the finest.. Namkubali kitambo
Ila huyo otille anaweza kuwa talented kwa level za Kenya ila akija bongo..he is just an ordinary musician ambae haez ingia A list ... He sounds bongo kwa hiyo comparison yangu ipo vyema tu
Wimbo mmoja tu naweza kuuskiza na tena ni kwa sababu ya sanaipei .... the rest kwangu ni unknown
Kwani hao Nigeria et al., mziki wao wanasapotiwa na nchi zao pekee au mi ndo sielewi [emoji849][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.Nadhani kwenu ku sound swahili = mombasani....
Ila chukua nyimbo za bongo ile ya muda mrefu af skiiza na otile anavyoimba..simply copy and pasting and this is the reason why he cant make a breakthrough in Bongo compared to the likes of Nyashiski coz "the music genre he uses is already over saturated in Bongo"
This boy is going far. Kenyans should boycott bongo flavour and support this one to the fullest. He's talented
You simply can't resist Bongo Music, Swahili yetu ni Tamuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
Kwa taarifa yako watu wa Mombassa wanasikiliza 100% bongo flava na watanzania wamejaa kibao kule hata kiswahili kimekua cha KibongoOtile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasani
Sasa Mombasa wanaskiliza Nini?[emoji23] wanaskiliza miziki ya Bongo 24 hrs, wa Watanzania wamejaa huko kibao hata kiswahili kimekua cha Kibongo kabisaWanaimba kimombasa hamna mambo ya bongo flava hapa. Sisi hatutambui bongo flava.
Kiswahili cha Mombasa ni kitamu zaidi. Hivyo viswahili vyenu vya chibudi chibude sivielewi mieYou simply can't resist Bongo Music, Swahili yetu ni Tamuuu
Kwani Mombasa si ilikua pwani ya Zanzibar kabla ya kwenda Kenya?Wewe umesahau kiswahili kilianza Mombasa? Sasa itakuwaje nyinyi ndio mliopeleka kiswahili huko?
Kiswahili cha Mombasa ni kitamu zaidi. Hivyo viswahili vyenu vya chibudi chibude sivielewi mie
Of course. Kama hiyo ni bongo flava hatuhitaji ingine basi. It's high time we start supporting our ownUnamaanisha mu boycott bongoflava then msapoti Bongo flava?? Maana Otile Brown na wenzake wanaimba bongoflava pure[emoji23]