Otile ameangusha nyingine bonge la

Otile ameangusha nyingine bonge la

Nafkir hao hawaelewi na ndio maana hadi hii leo tunaoana sana na watu wa huko pia tuko na ma aunt na wajomba wengi sana ni na bibi huko.
Kabisa, Niliishi Tanga kipindi flani nilishangaa sana hilo swala nilipouliza inakuaje wananiambia wa Mombasa ni ndugu zetu wa damu
 
Ndo hvo...mwanzo ghetto kwao..ndio hupaita uswahilini...

Wakileta list km niliyotoa ya msa kuhusu kiswahili nitag...
 
Mimi ni Mtanzania halisi na Kiswahili nakifaham haswa!
Sawa sina ubishi. Tatizo ninyi watanzania kwa sababu mnaongea kiswahili sanifu mnadhania kwamba nyinyi ndio waswahili original. Waswahili original wanatokea Mombasa, Pemba na Zanzibari kama sijakosea.
 
Ndo hvo...mwanzo ghetto kwao..ndio hupaita uswahilini...

Wakileta list km niliyotoa ya msa kuhusu kiswahili nitag...
Mkuu Zanzibar lahaja pia za kiswahili kma huko.
Mfano:kuna kiswahili cha unguja mjini,kiswahili cha kipemba,kiswahili cha kimakunduchi,kiswahili cha kitumbatu na hvyo vyote ni viswahili.
 
Back
Top Bottom