Otile ameangusha nyingine bonge la

Otile ameangusha nyingine bonge la

Kuja ufunzwe kimvita wewe....ama wataka ki jomvu..au pia wataka kigunya...au pia wataka ki amu...haya na wewe nitajie cha dar...au kwenu kiswahili hakina majina...heheeeee!!!labda mnakiita kizaramo
Kiswahili ni kiswahili na hakina majina.. ulizotaja ni lahaja za kiswahili...
Sijui umeelewa mzee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ju ya watu wawili. Sasa wakikufa mtafanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Who and who....Tanzania doesn't just have bongo damn fleva, there's bongo dance, taarab, mchiriku, singeli.
 
Vipi kuhusu confusion ya l na r?mbona watanzania wengi hawajui kutofautisha?
Hili ni tatizo la kikabila zaidi. Mfano Sisi watu wa nyanda za juu kusini katika lugha zetu za kibantu hatuna herufi 'r' hivyo usitegemee Sisi tukang'ata ulimi kuitamka hiyo herufi. Pia baadhi ya wazenji na wamakonde hawana herufi 'm' na badala yake wanatumia 'n', mfano mtu kwao ni ntu.

Wakati nakua nilikua napenda kusikiliza wimbo wa yalaiti ulioimbwa na Bi Malika wa umombasani. Nikagundua nyie hamna herufi mwambatano 'chi'. Badala ya kusema 'sikuachi' yeye anasema 'sikuati'.

Kiswahili kina lahaja nyingi sana ila Sisi Watanzania tumechagua lahaja ya kiunguja. Kwahiyo kinachotuunganisha ni hicho kiunguja nje na hapo tuna tofauti ndogo ndogo nyingi tu.
 
Kiswahili ni kiswahili na hakina majina.. ulizotaja ni lahaja za kiswahili...
Sijui umeelewa mzee [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Yah..hzo ni lahaja nafahamu tena sana...ila dar najuwa hamna..mnaongea bila mpangilio tu
 
Ahaaaa labda kwa Kenya ..kwa bongo bado mtoto.. naomba uwaangalie vijana wa bongo kama barnaba na belle 9, ukiwaona ndo utauelewa utoto wa otille
Hujui Otile ndiyo anatetemesha mambo Kenya sasa hivi?
 
Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
Brazee kwani kuna mtu ana sole rights za lugha..it just happen waTz ndo tunakitumia zaidi kiswahili na hayo mengine ni stories..
 
By the way! Congo,S.A,Ghana, Nigeria,Senegal na Uganda zikiwachwa wapi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz haiko hata kwa map.
I am talking of Akon,Kofi Olomide,Whizkid, etc.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wew Congo ilkua enzi hizo, Senegal ndo kabisa, yaan apo labda SA na Nigeria ndo wanatuzid wengine kapuni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
Tanzania ipo second baada ya nigeria... SA ni third...congo yupo nyuma ya ghana.... SA wapo vizuri sana in hip hop
 
Ulitaka mpangilio gani mzee.... hii ni lugha ina misimu na rejesta zake na kama concepts ndogo kama hizi huzijui bhasi utapata tabu sana..

Ukitaka kiswahili unachokifikiria ,zama pwani ama kaa na watu wa heshima sana ndo huwa wanajali kuhusu lugha..ukiingia mtaani hakuna hayo mambo asee
Yah..hzo ni lahaja nafahamu tena sana...ila dar najuwa hamna..mnaongea bila mpangilio tu
 
Wakenya ao wanakwambia na kiswahili kilitoka kenya[emoji23][emoji23] vipi na wazaramo walitoka kenya?
Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
 
Tunaongelea genre. How popular is Bongo music in Africa. Nikienda S.A will I get fans there? What if I went to Nigeria! Will I get a good number of die hard fans? Hio ndio inamua kama mko number 1/2. For example,
1. Afro POP- Nigeria.
2.Rhumba- Congo.
3. Lingala- DRC.
4. Afro beat-S.A
5. Afro Jazz- S.A
*6. Bongo flavour-Tanzania.
The list goes with popularity, huwezi tudanganya Bongo imeshinda AfroJazz unless you are Mad. Bongo iko Kenya na Tz tu. Uganda fan base yao ni Reggae/Dancehall.
Kwani hao Nigeria et al., mziki wao wanasapotiwa na nchi zao pekee au mi ndo sielewi [emoji849]
 
Ndio maana akajifanya anaachana na Mdoli wake wa kuchonga kisha wakajifanya wamerudiana kumbe alikuwa nataka kuachia wimbo......akaze buti asijekuwa kama harmorapa anajulikana yeye kuliko mziki wake.
 
Bongo became famous in Kenya through Alikiba then Diamond revolutionised it. Before these two guys Bongo crap was Unknown in Kenya. We Only knew Genge,Reggae and Rhumba.
Who and who....Tanzania doesn't just have bongo damn fleva, there's bongo dance, taarab, mchiriku, singeli.
 
Hili ni tatizo la kikabila zaidi. Mfano Sisi watu wa nyanda za juu kusini katika lugha zetu za kibantu hatuna herufi 'r' hivyo usitegemee Sisi tukang'ata ulimi kuitamka hiyo herufi. Pia baadhi ya wazenji na wamakonde hawana herufi 'm' na badala yake wanatumia 'n', mfano mtu kwao ni ntu.

Wakati nakua nilikua napenda kusikiliza wimbo wa yalaiti ulioimbwa na Bi Malika wa umombasani. Nikagundua nyie hamna herufi mwambatano 'chi'. Badala ya kusema 'sikuachi' yeye anasema 'sikuati'.

Kiswahili kina lahaja nyingi sana ila Sisi Watanzania tumechagua lahaja ya kiunguja. Kwahiyo kinachotuunganisha ni hicho kiunguja nje na hapo tuna tofauti ndogo ndogo nyingi tu.
Hata Kenya kuna hilo tatizo la herufi. Watu wanakizungumza kiswahili kwa lafudhi zao za lugha za kikabila ila linapokuja swala la maandishi wanaandika vizuri tu. Tena kiswahili kinachofundishwa Kenya ni fasaha na ni nadra kuwapata walimu wa kiswahili wakikosea kisarufi. Shule za msingi wanafunzwa sanifu na mufti
 
Back
Top Bottom