Otile ameangusha nyingine bonge la

Otile ameangusha nyingine bonge la

Sio kweli, sio wengi, ila sikatai Kama wapo baadhi wanaoshindwa kutofautisha, na sio tatizo la Tz Pekee ni Dunia nzima
Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingine
 
Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
Mkuu kwani Mombasa wanaimba bongo fleva pia? Manake sijajua mziki wa mombasa una sound vipi zaidi ya taarabu ndio huwa nasikia toka mombasa.
 
Sawa sina ubishi. Tatizo ninyi watanzania kwa sababu mnaongea kiswahili sanifu mnadhania kwamba nyinyi ndio waswahili original. Waswahili original wanatokea Mombasa, Pemba na Zanzibari kama sijakosea.
Kuna kiswahili cha pwani na cha bara, vyote vizuri lakini inasemekana cha Pwani ndio Sahihi zaidi.

Mfano Mzuri ni mfano English ya UK na ya America, Marekani wanaunda maneno mapya kila siku na mengine hutumika kama lugha maalum ndio ilivyo bara
 
Ndio nakwambia sio wote sasa, kwani Mimi umeniona nimeandika Kama hivyo?
Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingine
 
Dunia nzima? Labda useme kuzungumza sio kuandika maana nyie mnakosea sana mkiandika kwa mfano mahali na mahari. Yaani mbongo akikutungia sentensi huwezi elewa anachomaanisha. Nampeleka hamisa mahari. Hapa anamaanisha anampeleka Pahala fulani lakini ana makosa ya kiherufi hivyo sentensi yake yamaanisha jambo lingine
Nafkiri huu mjadala unafaa kusema ni watanzania bara na sio watanzania wote.
 
Mkuu Zanzibar lahaja pia za kiswahili kma huko.
Mfano:kuna kiswahili cha unguja mjini,kiswahili cha kipemba,kiswahili cha kimakunduchi,kiswahili cha kitumbatu na hvyo vyote ni viswahili.
Mwanzo ki ungaja quality sana
 
Sultan janja janja sana...alikuja akanyakuwa tu...sasa cheki distance ya mombasa na zenji
Distance sio hoja mkuu ni bora kila taifa limeridhika kma kufika huko pia tunafika na nyie mnafika.
 
By the way! Congo,S.A,Ghana, Nigeria,Senegal na Uganda zikiwachwa wapi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tz haiko hata kwa map.
I am talking of Akon,Kofi Olomide,Whizkid, etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
 
Nadhania Pemba, Mombasa na Zanzibar zilikuwa muungano kabla ya mzungu kunyaka Mombasa. Kwa hivyo zanzibar pia ina waswahili original ila Tanzania bara ndio ambao sio original.
Hapo uko sahihi bro....tanzania hamna waswahili..wamesaidiwa na wa zanzibar..
Nikitaja waswahili namaanisha
Kenya-1111-0794_large.jpg
0fgjhs7rosld08hte.88a482e0.jpg
0fgjhs7t45kls342r.20bc8d87.jpg
 
Their Music has no history before Diamond na Alikiba. Infact UG & Kenya were the power house enzi zile za E sir tukiwa OGOPA DJs. Until Confusion from Mombasa and Tz flocked our music Industry & corrupted our genre.
Kweli man...wasafi tu..na ni diamond na harmonize tu...wengine wote wanaimba ni sawa na local tu...
FB_IMG_15353667982167600.jpeg
 
Back
Top Bottom