Otile ameangusha nyingine bonge la

Otile ameangusha nyingine bonge la

Otile ha sound bongo..jamaa anaimba kimombasani
Nadhani kwenu ku sound swahili = mombasani....

Ila chukua nyimbo za bongo ile ya muda mrefu af skiiza na otile anavyoimba..simply copy and pasting and this is the reason why he cant make a breakthrough in Bongo compared to the likes of Nyashiski coz "the music genre he uses is already over saturated in Bongo"
 
Si nkm vile mka copy paste kiswahili kutoka mombasa...mbna hakuiga mpka matatizo ya herufi...hhhh
 
Kimombasani [emoji53][emoji53][emoji53] ni aina ya muziki au....

Huyo anaimba bongo flava yaani chukua nyimbo za bongo flava pure afu msikilize anachokiimba..just the same
Kuja ufunzwe kimvita wewe....ama wataka ki jomvu..au pia wataka kigunya...au pia wataka ki amu...haya na wewe nitajie cha dar...au kwenu kiswahili hakina majina...heheeeee!!!labda mnakiita kizaramo
 
Huyo Chalii akija Bongo atakuwa anashindana na kina Harmorapa instagram,nikipanga list ya wasanii bongo namuona kama mtu wa 1000 hivi.
Hiyo bangi ya Moshi Arusha uliyovuta ulinunua pesa ngapi? Inaonekana ina steam nzito sana?
 
Wyre the finest.. Namkubali kitambo

Ila huyo otille anaweza kuwa talented kwa level za Kenya ila akija bongo..he is just an ordinary musician ambae haez ingia A list ... He sounds bongo kwa hiyo comparison yangu ipo vyema tu

Wimbo mmoja tu naweza kuuskiza na tena ni kwa sababu ya sanaipei .... the rest kwangu ni unknown
Hujui Otile ndiyo anatetemesha mambo Kenya sasa hivi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
Kwani hao Nigeria et al., mziki wao wanasapotiwa na nchi zao pekee au mi ndo sielewi [emoji849]
 
Nadhani kwenu ku sound swahili = mombasani....

Ila chukua nyimbo za bongo ile ya muda mrefu af skiiza na otile anavyoimba..simply copy and pasting and this is the reason why he cant make a breakthrough in Bongo compared to the likes of Nyashiski coz "the music genre he uses is already over saturated in Bongo"
Hajacopy chochote. Sema tu wimbo wake unafanana na wa Tanzania. Kiswahili kilianzia kisiwa cha Mombasa. Otile anatokea Mombasa na kiswahili anakifahamu vyema. Waswahili wa Mombasa na Lamu wameongea Kiswahili tangu enzi za waomani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui wakenya ndio wanawasapoti. Wakisusia hizo ngoma zao watapata taabu sana. I doubt whether they are second in Africa as he claims. There is Nigeria, S.A,Congo just to mention a few
You simply can't resist Bongo Music, Swahili yetu ni Tamuuu
 
Unamaanisha mu boycott bongoflava then msapoti Bongo flava?? Maana Otile Brown na wenzake wanaimba bongoflava pure[emoji23]
Wanaimba kimombasa hamna mambo ya bongo flava hapa. Sisi hatutambui bongo flava.
 
Kwa taarifa yako watu wa Mombassa wanasikiliza 100% bongo flava na watanzania wamejaa kibao kule hata kiswahili kimekua cha Kibongo
Wewe umesahau kiswahili kilianza Mombasa? Sasa itakuwaje nyinyi ndio mliopeleka kiswahili huko?
 
Wanaimba kimombasa hamna mambo ya bongo flava hapa. Sisi hatutambui bongo flava.
Sasa Mombasa wanaskiliza Nini?[emoji23] wanaskiliza miziki ya Bongo 24 hrs, wa Watanzania wamejaa huko kibao hata kiswahili kimekua cha Kibongo kabisa
 
Back
Top Bottom