Otile ameangusha nyingine bonge la

Kwetu ni tatizo kwa sababu tunaongea sana kiswahili kuliko tunavyokiandika. Wengi hasa ambao hawakufika sekondari au waliosoma kwa kusuasua huwa wanashindwa kuandika vizuri ingawa wanaongea vizuri Sana.

Tatizo kubwa tulilonalo ni matumizi ya 'a' na 'h'. katika kiswahili hizi herufi mbili mara nyingi zikitumika kama kiambishi awali (prefix) huwa zina tabia ya kupingana. Mfano mtu anataka kusema 'huyu mtu hana akili' lakini anakosea na kuandika 'huyu mtu ana akili'. Hapo watu wanamuelewa tofauti kabisa na alivyomaanisha.

Ni bora ukosee R na L, watu watajua umekosea tu bahati mbaya Kutokana na maudhui ya sentensi yako. Ila A na H, hapo wataelewa tofauti na ulivyokusudia.
 
Bongo became famous in Kenya through Alikiba then Diamond revolutionised it. Before these two guys Bongo crap was Unknown in Kenya. We Only knew Genge,Reggae and Rhumba.
do your back up check before writting something dat you don really know (unless you are really an under age kid)..

After all Ali kiba hakuwa mkubwa back in the days maana hata muziki kaanza mid 2000's while mziki wa bongo ushaanza kuchukua awards za nje "Kora awards"...

Hawa walianza kujulikana na kufahamika kabla na hata zaidi ya kiba....Mr Nice, lady jay dee, Ray c, TID, Dully sykes, Mr blue, saida karoli, Prof jay, K lyn , AY ,Bushoke etc...

Enzi hizo Kenya ilikuwa na kina jua kali, Amani, nonini, Nyota ndogo, E-sir mc,longombaz, naziz ,wyre, Nyashiski na group lake klepto something, Nameless etc....
 
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] I'm talking of genre popularity not Artists popularity! Hatakama Mr Nice alikuwa popular, bongo was still unknown in kenya, but when Alikiba came in backed up with some few artist (Lady Jay

etc) the fan base grew and the genre popularised but wasanii fake wakaenda underground na then Diamond came & build his own empire, hapo ndio many Tz artists thrived from.Sijui sasa kwanini Hamjielewe mnasema Tz iko ya pili Africa! Surely, Wasanii wawili watatu watafanyaje Bongo iwe famous Africa? Do you want to tell me tukienda Egypt/S.A/Nigeria tutapata fun- base ya Bongo? But Afro pop is all-over. People listen to Nigerian music allover Africa. Nyinyi apart from Kenya where else is Bongo flavour popular! The only break through mlifanya ni ile collabo Diamond ft Omarion. The rest is Unknown.
 
Wakenya ao wanakwambia na kiswahili kilitoka kenya[emoji23][emoji23] vipi na wazaramo walitoka kenya?
Wazaramo ndio nani? Mimi naongea kuhusu historia. Itabidi usome vitabu ndio uelewe
 
Naona wewe mi mwalimu wa kiswahili
 
Dooohhhh you really don know what yo are talking bout....
Kwamba kiba ndo kaileta bongo flava Kenya and the rest walikuwa wapitaji...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

If you really want to know the power of bongo flava.. ingia youtube and search for the bongo artists live shows bhasss

By the way ..there is no need for this long discussion
 
Nyie wote mnaobishana ni mapimbi Mnaleta mambo ya Utaifa

1:ushajiuluza katika insta mondi ameweka ni msanii anayetokea EA na sio Tz pekee.?

2: Mondi akifa nani atakuwa mbadala wake Tz?

3:kwa nini Mondi Wasafi festival itamalizikia Kenya na sio Tz?

Kwa mimi Binafsi msanii yeyote wa EA akiimba vizuri nasapoti.

Infact kinachosababisha kenya mziki wake usiendelee ukitaka kupiga nyimbo ya msanii lazima umlipe ambapo kwa Tz iyo kitu hakunaga

Acheni Utaifa MAPIMBI NYIE WOTE MNAOBISHANA
 
Diamond is smh humble. He regards Kenya as his second home. The other guy signed under his label is so full of himself. A very proud guy indeed
 
Leo ni furahiday napenda ile ngoma ya Jibebe vile watoto watatingishsa mahaga...
 
Huyo Chalii akija Bongo atakuwa anashindana na kina Harmorapa instagram,nikipanga list ya wasanii bongo namuona kama mtu wa 1000 hivi.
Wivu wa kike tena waelekeza kwa mwanaume mwenzako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] And how would you know how Bongo popularized in Kenya yet you are a Danganyikan dweller. Hio bongo hata unaongelea is not thaat... popular in kenya. People listen mostly to Reggae/Dancehall,Hip hop, RNB & Afropop, personally I hate bongo music so don't expect me to waste my time browsing bongo crap.
 
I ne Deal with your own hate kijana coz im not too low to deal wic haters...
 
Ahaaaa labda kwa Kenya ..kwa bongo bado mtoto.. naomba uwaangalie vijana wa bongo kama barnaba na belle 9, ukiwaona ndo utauelewa utoto wa otille
Hao uliowataja mbna local tu sana..sijui lini walipiga show kenya
 
Sasa mbna walalamika sana..km tz hamna hamna tu...wanaongea tu..ila hawajui wanaongea kiswahili gani..upo mzee baba..ukwel ndio huu..wa bongo walisikia watu wakiongea nao wakakidakia bila kujua mambo yanaendaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…