Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah watu mnamajibu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Beki wa kushoto wa Mtibwa Sugar
Mmelazimishwa kusikiliza nyimbo za wasanii wasio na vipaji, wewe wa hovyo kweliNdyo haya mazumbukuku ya WCB yamezoea kuiba na ku copy, ubunifu 0, yaan yanakera sana lol. Msieeew zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasipo copy mbna streams zitakosa numbers lolWatz inabidi wasanii wetu wapunguze kucopy copy jamani si beat, si melody, si style za kudance
Wa nchi ngapi umekuchoma tena kunako? Poleeeeh na u relaaaaax, msieeeewMmelazimishwa kusikiliza nyimbo za wasanii wasio na vipaji, wewe wa hovyo kweli
Siku hizi tcra washafanya yao vifurushi bei juu naona views hazipandi kama zamani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasipo copy mbna streams zitakosa numbers lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na iwe hivyo tyuuhSiku hizi tcra washafanya yao vifurushi bei juu naona views hazipandi kama zamani.