Our Iron lady will be in Uganda for EACOP signing!

Our Iron lady will be in Uganda for EACOP signing!

Iron lady yupi? Tulieni kwanza tatizo watz tunakuaga over ambitious! Yani kama wasadikika flani kuishi kwa nguvu ya macho!
 
Sio kwa pesa za umma sasa milioni 500 ingewatosha
Hizo ni pesa kwa Familia ya Magufuli na kizazi chake, wacha wapate fungu lao sababu baba yao kainua mapato ya tra kutoka billion 800 mpaka trillion 1.5 kwa mwezi

Japo hiyo number ipo exaggerated lakini sitaona shida kama wamepata angalau billion 50
 
Sijawahi kumsikia akibwatuka vya hovyoo, kama sijakosea JK ndiye alimjenga kisiasa, hivyo inawezekana huyo JK akahusika pakubwa nyuma ya pazia, na kwa hali hiyo inawezekana mkaanza safari mpya yenye mafanikio makubwa.
Pia hata waziri mkuu wenu huwa namuona great thinker kiaina, hapo kwa hao wawili wakishirikiana bila kuibua chokochoko za hovyoo wanaweza wakarejesha ule ukuaji wa kiuchumi uliokua kipindi cha JK.
TZ tuna hazina kubwa sana ya viongozi,pale tulipokua wakati wa jakaya tulihitaji mbadala wake mtu kama magufuli na tulimpata,pamoja na mapungufu yake lakini mpokea kijiti wa jk alihitaji zaidi typical ya mtu kama magu,magu alipotuacha na imani na bi mkubwa ataendeleza yale mazuri yote aliotuachia mwamba wetu magufuli na kuongezea hekima zake,100% mama Samia atotuangusha
 
Hivi bado itaitwa serikali ya awamu ya V?
 
Now tuko kama Ethiopia
Rais ni mwanamke
Rais wa Ethiopia sio head of government. Yeye ni kama flower girl tu na hana nguvu yoyote . Rais mtarajiwia Samia atakuwa na nguvu zote za kikatiba.
 
Sijawahi kumsikia akibwatuka vya hovyoo, kama sijakosea JK ndiye alimjenga kisiasa, hivyo inawezekana huyo JK akahusika pakubwa nyuma ya pazia, na kwa hali hiyo inawezekana mkaanza safari mpya yenye mafanikio makubwa.
Pia hata waziri mkuu wenu huwa namuona great thinker kiaina, hapo kwa hao wawili wakishirikiana bila kuibua chokochoko za hovyoo wanaweza wakarejesha ule ukuaji wa kiuchumi uliokua kipindi cha JK.
Na pia ndio mzee aliyebaki wa kushauri ,na akina butiku na yule aliyekuwa Mwenyekiti wa Katiba

Mzee Mwinyi umri umesonga Sana,kwa kuwa personality yake ni mtu muungwana kama walivyokuwa viongozi wengine waislamu umoja wa Taifa utarudi

Sitegemei kuwa Katili japo rabsha za hapa na pale ni kawaida kwa watawala but itakuwa tofauti na marehemu.Ni muhimu ajipambanue kwenye muelekeo wa sera za Uchumi na uhusiano wa kiuchumi Ili kujenga trust kwa wawekezaji
 
Unaionaje sura hiyo? ushaanza wivu sio? mwendo ndo uleule na ikiwezekana utazidi mwendokasi!
Mwendo utazidi.. hamna kurud nyuma labda baada ya huyu mama kumalza miaka yake 9 ya utawala
 
Huyu Mother Nakumbuka alienda kumpa pole Mwh Lissu Hospital Nairobi ana mOyo wa Huruma sana Allah Ampe Nguvu ya Kuongoza Nchi vizuri.. Amin
 
Back
Top Bottom