Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
Wakuu,
Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake.
Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa Operation Shin Bet( 266)/ Operation Eli Cohen!
Historians admit that , Eli was truted na Syria Gvt hadi akala TEUZI as a Deputy Minister of Defence, ilibaki kuapa na kukabidhiwa Ofisi. Ilikuwa ni hatari sana kwa Syria kama hadi sehemu za maamuzi zina mapandikizi.
As for Tanzania, kuna changamoto kubwa sana kwenye hilo eneo. JWTZ ilitoa ALERT kwenye presidential department inayohusika na TEUZI. Baadhi ya Viongozi ambao ni Presidential Appointee kuna changamoto kwenye Uraia/ wakimbizi ambao baadhi yao wana access na classified information of the state and decision making.
We might not see the impact now .... lakini a day tunakuja kuingia kwenye Political and Military Conflicts na nchi Jirani.... inaweza kutuletea shida kubwa sana na failure of our operations.
Inakuaje watu wenye issues kwenye Uraia : wakimbizi au descendents za wakimbizi wana climb hadi wanapata Presidential Appointment? walifikaje hapo? Ni kwamba tupo loose sana au ?
Kama kigezo kitaendelea kuwa ulisoma shule ya msingi Tanzania, ulimaliza elimu ya kati na chuo Tanzania na Unakadi ya CCM .... ipo siku tutakuja kuongozwa na mtu ambae sio Mtanzania.
Maswali ni mengi kwanini Viongozi wetu sio wazalendo na nchi yao? Very much skeptical kwamba wengi wao sio Watanzania na tunapandikizi wengi sana through political influence na wengi wapo kwenye decision making.
Kuendelea kuwaficha ficha hao watu ni kuendelea kukaribisha hatari in the future . Eli was executed kwenye open space to leave the lesson behind kuwa MAMLAKA za nchi HAZICHEZEWI,
Ninashauri wale wote waliokuwa Spotted na JWTZ ambao ni wanasiasa na wana presidential appointment wawekwe wazi Raia wawajue sambamba na kuchukuliwa hatua publicly . Hii ni matusi kwenye mamlaka za nchi…ndio maana Syria walikataa kumsikiliza hata Pope John VI kwenye issue ya Eli.
Ninaishauri Serikali kupitia upya mfumo wa TEUZI, VETTING hasa kwa watu ambao ni WANASIASA.
Risk based area ( maeneo hatarishi Geographically) yazingatiwe sana.
Mtu anaweza kuwa ameanza Vidudu Hadi kufika chuo Tanzania and still akawa ni Pandikizi.
Mstari tunauchora wapi ?
.........