Sasa mkiwa mnadiscuss na kupeana maufundi na kuonyeshana katerero inavyopigwa huwa practical mnafanyaje? maana wote tunajua umuhimu wa practicals katika ufundishaji na ujifunzajiUnajua hawa iwa hawajui tu pale watu tunabadilishana mawazo wengine hawajui Katerero inapigwaje sasa mnapo kuwa kwenye mazungumzo mnabadilishana maufundi ukifika home lazima F1 uchanganyikiwe na maufundi.
huko baa kama shida ni kupiga story na wanaume wenzao, si kila mwanaume angekuwa anakwenda na mkewe, wanaume meza yao kuongea yanayowahusu na wanawake mezani kwao kupiga porojo zao, baada ya hapo kila mmoja anarudi kwake na wake..
haya mambo ya kwenda bar bila wake zao si yanaweza kuzusha majambo? ukizingatia habari za ma baa maid, wachunaji. na hivi vikundi vya siku hizi vya shake shake tunavyosikia vina "tumbuiza" wanywaji ukiongeza na kinywaji kwenye vichwa vya watu...mmmhhh!!
Hahaha! Akiwa na timu hiyo, kesho yake FL1 hatathubutu kutoka tena na hubby wake!!
Hahahaha na meza imechafuka kilaji wengine tukisha onja story zinakuja zenyewe juu kwa juu out ya mama ni mara moja tu kwa week yaani j2 hapo baba, mama na watoto mnatoka nao out hapo unakuwa na familia lakini sio naenda kuongea na marafiki na wife to be nae aje hiyo NO
Ah wanaume wakitaka mambo yao hakuna wa kuwazuia wengine atakuwa anapitiliza moja kwa moja toka kazini so anaua ndege wawili kwa jiwe moja job na outing. Lakini kusema ukweli ni kujipangia tu utaratibu wa maisha yenu.
hahahaaaaaaa jamani taratibu anayefanya hivi kweli kakubuhu lol!Kwa hiyo ndo kusema wewe unapo enda kuli touch lazima twende wote si ndo hivyo? Na vile vyumba vya kwenye saloon vya ndani kwa ndani vina nini vile maana mzee upo nje unasubiri kumbe njemba inaua njiwa 2 kwa jiwe moja.
Kwa hiyo ndo kusema wewe unapo enda kuli touch lazima twende wote si ndo hivyo? Na vile vyumba vya kwenye saloon vya ndani kwa ndani vina nini vile maana mzee upo nje unasubiri kumbe njemba inaua njiwa 2 kwa jiwe moja.
Kwa hiyo ndo kusema wewe unapo enda kuli touch lazima twende wote si ndo hivyo? Na vile vyumba vya kwenye saloon vya ndani kwa ndani vina nini vile maana mzee upo nje unasubiri kumbe njemba inaua njiwa 2 kwa jiwe moja.
Fikiria tumekukatana kwenye kikao chetu cha jmosi au j2 na Mr. nae yupo huku na huku Masanilo anaingizia story kuwa dah ile wheel barrow style balaa huku pembeni kuna mdau Nguli nae anapigilia msumari hapa kati kuna Geoff nae anapigilia msumari hiyo lazima uwe umeshiba pembeni mpwa Chrispin nae anamwaga vitu wewe joto halita panda?
Halafu watoto nyumbani nani atawalea? Hahaha! Hiyo red hiyo, hapo umenena jambo.
jamani acheni mara nyingi huwa akina mama hawapendi kwenda out na wame zao kwa sababu ya mume kuogopa kumegewa na rafiki zake tena uje kuta mdada enzi zake alikuwa moto we acha tu jamani tuwaonee huruma.
Halafu watoto nyumbani nani atawalea? Hahaha! Hiyo red hiyo, hapo umenena jambo.
Nadhani hii thread inatuhusu zaidi,Naomba tuboreshe hizi outing mpenzi wangu,soma vizuri ushauri huu hasa wa akina SHE wana ushauri mzuri.
Hapa umenena niliporwa mchumba hivi hivi na jamaa nilikuwa na rafiki yangu half cast dah mchumba angu akamzia jamaa angu nikawa sina jinsi nilikuwa mdogo kama priton yaani binti alikuwa anashindwa kujizuia macho kodo kwa rafiki yangu na mm nilikomaa sikumwachia upenyo jamaa dah kumbe signal tu zilikuwa zinachezwa pale.
haya jamani nendeni mkajifunze hizo style zenu na sisi mtuache tukabadilishane mawazo ...tujifundishe pia mambo yetu yale ...
fidel .....unajua hivi mnapokaa bar mnadanganyana sana....ati saluni kuna vyumba vya ndani kwa ndani watu wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja!
ndo unakuta mwanamme anakhiari alipie zaidi, lakini alete mtu wa saloon ndani kwake kuja kutoa huduma!